Wadada wenye maumbo mazuri kwa asilimia kubwa wakikutana na mwanaume huhisi kutongozwa tu

Wadada wenye maumbo mazuri kwa asilimia kubwa wakikutana na mwanaume huhisi kutongozwa tu

Na mlivyo na maajabu Sasa, mwanaume alie serious huwa anaejiona na uzuri wake mnamruka mnamfata asie na nyodo,,

Kuna story moja ipo mitandaoni inasema mkaka mmoja alimpenda kirafiki mwanamke fulani, katika kuwasiliana na mitoko ya hapa na pale, yule mwanamke akawa anaenda na rafikize(micharuko) ila mmojawapo alikuwa tofauti, kuanzia aina ya uongeaji nk mwishowe yule mkaka akampenda na kutaka kumuoa huyo aliyekuwa mstaarabu na kumtosa wa mwanzoni, itafute hiyo story inaendana Sana na hawa walemavu wa akili
Hahahahahahah eeh unaweza ukajikuta umempatia jackpot mwenzio 😅!!!
Madem wenye chura takeaway wanakuwaga na mapozi sana!

Umkute dem ana karangi kajaliwa nywele na kasura kazuri aisee utamtaka😅
 
Mnakosea mnapoondoka hamuwaambii
Unapoamua kuondoka kimya kimya mwenzio anaona amewin. Mwambie akomae kiakili kua sio

Yule mdada sidhani aliona kama ame-win, coz vibe nlioenda nayo pale sio ya kingono, sikuwa natarajia chochote toka kwake zaidi ya story.

Yule mdada kesho yake Tena nlienda maeneo yale, nliona anajipitisha pitisha mbele yangu huku ananiangalia Sana kwa mbali, ila ckua na time nae, nahisi alinishangaa na hakuamini, nahic alijiuliza mm ni mwanaume wa aina gani, ambaye naweza kuyaacha makalio yake hivi hivi, nadhani alitegemea cjui ntambembeleza sana na kumwomba namba..plus mialiko ya ghetto na mtoko, kumbe mm walaa

Story nilizopiga na yule mdada ni story ambayo ningepiga hata na mwanaume mwenzangu Brian Spilner Mama pretty
 
Hahahhah unawamwagia “Manara” tu! Misimbazi mingi no shobo anajiweka sawa mwenyewe tu[emoji28]
Tunasema mlete mlete, akiona amefika ndio anavuta kiti atulie...hahaha unavaa miwani ya mbao...huyooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi namheshimu sana binti mnyenyekevu huyo ukimuumiza laana inaweza kuku..
 
Back
Top Bottom