Michelle98
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 673
- 2,066
Syo uongo unayozungumzaa, kuna mabnt hata ukiwaumiza unahis hatia moyoni.Tunasema mlete mlete, akiona amefika ndio anavuta kiti atulie...hahaha unavaa miwani ya mbao...huyooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi namheshimu sana binti mnyenyekevu huyo ukimuumiza laana inaweza kuku..
Utakuwa umewekwa kwenye chupasiyo kweli mke wangu mimi ni mzuri na ana akili ...nalipinga hili
Yes, hao nawaogopa mno na huwa naenda nao pole pole kulinda kumuumizaSyo uongo unayozungumzaa, kuna mabnt hata ukiwaumiza unahis hatia moyoni.
Hahaha sisi wengine namba moja hatuna Cha kusemaSisi wengine tuna matumbo na maumbo namba 9 na tunatongozwa daily mkuu[emoji23]
Nadhani ni hulka tu ya dada ambae ni mzuri kudhani kuwa anaweza kumvutia kila kiumbe cha kiume...
Hili umbile namba tisa ndio kwanza nalisikia. Unaweza kuweka kapicha kidogo!Sisi wengine tuna matumbo na maumbo namba 9 na tunatongozwa daily mkuu😂
Nadhani ni hulka tu ya dada ambae ni mzuri kudhani kuwa anaweza kumvutia kila kiumbe cha kiume...
Noelia una akili sana. Wachache wenye uelewa kama wako.Huyo tayari makalio yake yameshampa ulemavu wa akili, halafu kutongozana ni jambo la kawaida hasa kwa jinsia tofauti sionagi bid deal hapo mwanaume akionyesha nia hiyo ni kulichukulia kawaidana kumtreat vizuri pasipo kuushusha utu wake Wala kujifanya wewe Ni binadamu toleo la kwanza kumbe ushuzi tu
Kweli kabisa picha muhimu. Ila nahisi yatakuwa maumbo dizaini ya wadada wa ukanda ule wa wasaka pesa kwa kiwango cha juu zaidi!!!Haka kasentensi kalifaa kusindkiziwa na kapicha
Daa!! Eti sura kama jaba la maji! Wabongo wana maneno!!!Ila binafsi naamini hata hao wadada wenye nyodo, hawaleti nyodo kwa kila mwanaume, Naamini hata mdada akiwa na nyodo kiasi gani, akimtamani mwanaume, nyodo zinaisha..
Sasa utakuta mwanaume una sura kama jaba la maji, utaacha kuletewa nyodo Noelia
Samahani mwali, nimekutumia PM...😋Sisi wengine tuna matumbo na maumbo namba 9 na tunatongozwa daily mkuu😂
Nadhani ni hulka tu ya dada ambae ni mzuri kudhani kuwa anaweza kumvutia kila kiumbe cha kiume...
Niitoe wap sasa😂Hahahaa.
Weka picha basi
Jf ina mambo!😂Kumbe Mama pretty ni mwanamme
Nikupm tena nahuku ulikata zigo la live je mimi na la picha 🙄😏🤣🤣🤣🤣 pm
Asee😂😂Hahaha sisi wengine namba moja hatuna Cha kusema
Sina picha.. ni maumbo kama wakaka wabeba vyuma au kama unamjua John bravo!😂Hili umbile namba tisa ndio kwanza nalisikia. Unaweza kuweka kapicha kidogo!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maskini wadada wazuri poleni si kwa kukandiwa huku[emoji23][emoji23][emoji23]Kosa lenu ni kuumbwa wazuri.
Endeleeni hivyo hivyo maana mkijilegeza kidogo tu imekula
kwenu
Mie huko sipo mkuuKweli kabisa picha muhimu. Ila nahisi yatakuwa maumbo dizaini ya wadada wa ukanda ule wa wasaka pesa kwa kiwango cha juu zaidi!!!
Weka hapa ulichotuma😂Samahani mwali, nimekutumia PM...😋
Mh mjumbe naona unajizolea pwenti tu..Samahani mwali, nimekutumia PM...[emoji39]