Michelle98
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 673
- 2,066
Syo uongo unayozungumzaa, kuna mabnt hata ukiwaumiza unahis hatia moyoni.Tunasema mlete mlete, akiona amefika ndio anavuta kiti atulie...hahaha unavaa miwani ya mbao...huyooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi namheshimu sana binti mnyenyekevu huyo ukimuumiza laana inaweza kuku..