Wadada wenye maumbo mazuri kwa asilimia kubwa wakikutana na mwanaume huhisi kutongozwa tu

Wadada wenye maumbo mazuri kwa asilimia kubwa wakikutana na mwanaume huhisi kutongozwa tu

Tunasema mlete mlete, akiona amefika ndio anavuta kiti atulie...hahaha unavaa miwani ya mbao...huyooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi namheshimu sana binti mnyenyekevu huyo ukimuumiza laana inaweza kuku..
Syo uongo unayozungumzaa, kuna mabnt hata ukiwaumiza unahis hatia moyoni.
 
Sisi wengine tuna matumbo na maumbo namba 9 na tunatongozwa daily mkuu[emoji23]

Nadhani ni hulka tu ya dada ambae ni mzuri kudhani kuwa anaweza kumvutia kila kiumbe cha kiume...
Hahaha sisi wengine namba moja hatuna Cha kusema
 
Sisi wengine tuna matumbo na maumbo namba 9 na tunatongozwa daily mkuu😂

Nadhani ni hulka tu ya dada ambae ni mzuri kudhani kuwa anaweza kumvutia kila kiumbe cha kiume...
Hili umbile namba tisa ndio kwanza nalisikia. Unaweza kuweka kapicha kidogo!
 
Huyo tayari makalio yake yameshampa ulemavu wa akili, halafu kutongozana ni jambo la kawaida hasa kwa jinsia tofauti sionagi bid deal hapo mwanaume akionyesha nia hiyo ni kulichukulia kawaidana kumtreat vizuri pasipo kuushusha utu wake Wala kujifanya wewe Ni binadamu toleo la kwanza kumbe ushuzi tu
Noelia una akili sana. Wachache wenye uelewa kama wako.
 
Ila binafsi naamini hata hao wadada wenye nyodo, hawaleti nyodo kwa kila mwanaume, Naamini hata mdada akiwa na nyodo kiasi gani, akimtamani mwanaume, nyodo zinaisha..

Sasa utakuta mwanaume una sura kama jaba la maji, utaacha kuletewa nyodo Noelia
Daa!! Eti sura kama jaba la maji! Wabongo wana maneno!!!
 
Maskini wadada wazuri poleni si kwa kukandiwa huku[emoji23][emoji23][emoji23]Kosa lenu ni kuumbwa wazuri.

Endeleeni hivyo hivyo maana mkijilegeza kidogo tu imekula
kwenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom