Wadau wa JF tujuane kwa kazi zetu, na dharau zitapungua

kivipi mkuu?
unatafutaje kujua kazi ya mtu wa mtandaoni msiejuana kisa unaona anavimba huku jf huko ni kuteseka na kutafuta namna ya kujifariji...... jf itumie kama kiburudisho ukianza kuifuatilia sana utaumia na ndio kama hivyo mtu anauliza kazi za watu
 
kuna picha ulinitumia, mdada mmoja mrembo sana,yupo mbugani,ni eidha anang`oa mbegu za mpunga ama anapanda,na badae akawa amesimama nyuma ya magunia ya mpunga,kwa kweli nilizipenda hizo picha. Mkuu vipi hali ya mvua hapo misungwi.
 
unatafutaje kujua kazi ya mtu wa mtandaoni msiejuana kisa unaona anavimba huku jf huko ni kuteseka na kutafuta namna ya kujifariji...... jf itumie kama kiburudisho ukianza kuifuatilia sana utaumia na ndio kama hivyo mtu anauliza kazi za watu
nb: tupo katika jukwaa la utani chit chat,usichukulie serious kila jambo.
 
Hata kuua pia mpaka unaweza kuua kiasi ilimradi kusitawale akili yako ?
 
Hata kuua pia mpaka unaweza kuua kiasi ilimradi kusitawale akili yako ?
Kila kitu ni lazima akili ndiyo itawale iwe ni kuua au kutokuua ndiyo maana kuna watu walipata dhambi kwa kuua na kuna watu walipata dhambi kwa kuto kuua visa vipo hadi ndani ya biblia na msahafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…