Wadau wa JF tujuane kwa kazi zetu, na dharau zitapungua

CIA-Tz special mission
 
kuna picha ulinitumia, mdada mmoja mrembo sana,yupo mbugani,ni eidha anang`oa mbegu za mpunga ama anapanda,na badae akawa amesimama nyuma ya magunia ya mpunga,kwa kweli nilizipenda hizo picha. Mkuu vipi hali ya mvua hapo misungwi.
Aaaah! Unamzungumzia Reyna. Naam! Yeye kaamua kujikita katika kilimo na ufugaji. Na anafanya vizuri sana. Ni mfano wa kuigwa maana angeweza kubinua matako mitandaoni humu akapata akitakacho lakini kaamua kuwa tofauti. Kazi hii ya kilimo na ufugaji imemheshimisha sana. Mungu ambariki binti yule πŸ™πŸΏ

Mvua Misungwi, kama zilivyo sehemu nyingine nyingi, ndiyo zinajaribu kuanza anza. Tunazisubiria kwa hamu!


 
Mimi ni mfanyabiashara mkubwa nchini, chai nakunywa china chakula cha mchana nakula Dubai.
Shoo kitandani napiga bao kuanzia tano, Nina PhD

Jf raha sana 🀣🀣🀣
 
Aaaah! Unamzungumzia Reyna. Naam! Yeye kaamua kujikita katika kilimo na ufugaji. Na anafanya vizuri sana. Ni mfano wa kuigwa maana angeweza kubinua matako mitandaoni humu akapata akitakacho lakini kaamua kuwa tofauti. Mungu ambariki binti yule
reyna ni nani mkuu?
 
Mnatoa comment zenu kwa masiala sana utadhan mmelazimishwa jmn. Masiala n mengi kweny hii thread
Masiala ni nini mkuu?

Wewe comment yako isiyo ya masiala iko wapi?

Acha watu wajifurahishe maana mada yenyewe haina kichwa wala miguu. Ni masiala tupu! 😁
 
Popote pale unapofanya shughuli zako,eshimu kila aliye mbele yako
 
Mimi ni mzee wa tenda za kufyeka barabara za TANROADS na kuzibua Kalavati. Huwa nnawachora mnavyopita na magari yenu.

Lakin niwape maua yenu madereva wa malori na mabasi huwa mnatusalimia kwa honi.

Naomba siku mojamoja mkuwe mnatirushia mikate na maji kama mnavyowarushiaga wale nyani wa kitonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…