Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Mpe jaribio Moja, mwambie achague kuachana na huyo jamaa na pia akusikilize wewe si kushikwa masikio na ndugu zake. Au aamue kuwasikikiza aendelee na uhusiano mpya.Kiukweli nimemuacha ila ameniomba msamaha nimemsamehe na anataka tuendelee na mawasiliano nikamwambia siwezi kuendelea na mawasiliano sababu nakuwa kama simfanyii fair jamaa yake. Nikampiga stop.
Kila muda kananitumia msg na kupiga simu.
Huyu wako kiboko mkuu🙌🏽🙌🏽Huwezi sema una mchumba kwa hv vida vyenue umri kuanzia 18-27,hao bado hawajajua dunia n Nini na kiukweli watakusumbua Sana maana bado akili ndogo, other wise labda ukipata wa hivyo ukitundike mimba haraka kama kweli unataka kuoa na Hilo kwa dunia ya saaa ni ngumu coz kuchomoa mimba kwao n dk 0
Ukitaka ambaye hata kusumbua n kuanzia 28-35 hapo huta pata mawazo kwasababu tayari huyo Kesha pitia mengi na pia Kesha umizwa anajua uchungu wa mapenzi na hapo yupo tayari kuolewa ktk mazingira yeyote,
Nimi niliwahi kuwa na kamoja ka hivyo kalinisumbua Sana, unakuta kana account 4 za fb, majina tofauti et sijui princes nani, sijui Diana.., hovyo sana, namba za cm anazo 4,nasafiri nae nakumbuka siku moja tupo ubungo Kumbe kwenye basi kamuona class mate wake akamkomyeza wakashuka nyuma ya basi naangalia naona wamekumbatiana ana mu hug,last time nikakuta kanaliwa na mume wa mtu.
Nikama mtu kunidanganya et una mchumba yupo chuo, aisee my friend kuwa makini
Umeharibu Uzi! Kwa mini kila Mwanaume anaeumiza na penzii mwisho wake huwa anataka kuonyesha Kama Mwanamke pamoja na kwenda kwingine bado anamtaka yeye! Ameendea nini sasa huko kwingine!Kiukweli nimemuacha ila ameniomba msamaha nimemsamehe na anataka tuendelee na mawasiliano nikamwambia siwezi kuendelea na mawasiliano sababu nakuwa kama simfanyii fair jamaa yake. Nikampiga stop.
Kila muda kananitumia msg na kupiga simu.
Usitafute hela kwa ajili ya wanawake, tafuta hela kwa Ajili YakoUmeona ?! Ngoja nizidi kutafuta hela.
Tafuta hela bana,wanawake na pesa ni samaki na maji asikudanganye mtu.Pesa ni catalyst ya mapenzi ukweli ndo huo.Kingine ukimpata mwingine kuwa straight naye usimpotezee mda na ahadi za ndoa alafu vitendo sifuri.Umeona ?! Ngoja nizidi kutafuta hela.
Muache aende zake piga zako kimya, mke mtarajiwa anashikiwa akili na dada zake like for real? Aisee muache
Huyu alikuwa balaa haswaaa, Sasa ukulikuta linaomba msamaha mpaka linalia machozi na kugaragara chini kabisa,Huyu wako kiboko mkuu[emoji1430][emoji1430]
Hapana bana ngoja alete mrejesho ndo tumalize mwaka vizuriKama ndio hivyo huu mwaka Bora uishe aisee
Mkuu sio vizuri hivomwongozo gani?
Akili ni nyele hapo unamtafuta mshkaji unamchana unaongeza na kachumvi alaf na demu mwemyew unapiga chini
Kiukweli nimemuacha ila ameniomba msamaha nimemsamehe na anataka tuendelee na mawasiliano nikamwambia siwezi kuendelea na mawasiliano sababu nakuwa kama simfanyii fair jamaa yake. Nikampiga stop.
Kila muda kananitumia msg na kupiga sim
Ni lazima kujifunza kujisimamia mwenyewe kwa kila kitu, yaani amini unachokiamini, ushauri unapokea lakini unajifunza kuchuja kipi ubebe kipi uache, matatizo sio kutoka kwa kina dada hata baadhi ya mama zetu especially haya mambo ya mahusiano kuna muda anaweza kukwambia kitu unakaa unawazaaa unaona kabisa mbona hayaingii akilini?? Inahitaji hekima mno ku survive kwenye kila kitu kwenye hii dunia..ukiona msichana ana dada yake kila jambo !.hapo ni maumivu kwa kweli!
dada anaweza kuwa na wivu na chuki za kijinga na kumfanya mdogo wake kumpangia hata mwanaume.
hili swala nilisha kutana nalo.
mtu yoyote akienda ukweni nikiona kuna dada na huyo dada mda wote akili kashikilia za mdogo mtu.basi hakuna kitu
hahahaha! Mbona yeye hafikirii mwenzie upendo utalipwa kwa uaminifu ila moto ni kwaotoMkuu sio vizuri hivo
Unataka binti wa watu akose bara na pwani na mahusiano yalivyo magumu kupatikana😂😂😂
Ndo kwanza January
🤣🤣🤣naona mwaka umeanza vibaya kwa kumtesa mpwa wetuHapana bana ngoja alete mrejesho ndo tumalize mwaka vizuri
...na wewe unashindwa kukataza! Mbona kama Unatusanifu hivi?Shukrani kwa ushauri wako mzuri kaka.
Nilitaka kuhakikisha tu,maana dogo anaendelea kunitafuta mpaka usiku wa manane anapiga simu.
Kesho Utarumdia, Mkuu?[ Namna hii iliwahi kunikuta way back 2013 mke mtarajiwa anakubali kila anacho shauriwa na nduguze mara muda wa kuolewa bado mara hiki mara kile nikasema shi.t!!! Nikapotezea mpaka kesho.
...kwa ajili yako? Unajidanganya...Nimemkalia komya naona anavyo haha.
Utakuta jamaa anamkwanja dada wanataka shem na sio shemeji[emoji1]Huyo dem na dada zake wote hawana akili.