paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,504
Tangu nianze kukufahamu wewe hapa, Douglas sallu, sjawahi kuona mchango wako usio na matusi, hivi wewe ni Binadamu? Ama ni skeleton?Wajinga, wapumbavu,waovu na waoga ndiyo wanamkataa
Tangu nianze kukufahamu wewe hapa, Douglas sallu, sjawahi kuona mchango wako usio na matusi, hivi wewe ni Binadamu? Ama ni skeleton?Wajinga, wapumbavu,waovu na waoga ndiyo wanamkataa
Sasa wamegoma mtafanyaje??CCM bila mbeleko na mabavu ya vyombo vya dola haiwezi kupata hata 10% ya kura, kama wanabisha wakubali uchaguzi uwe huru na wa haki waone moto wake.
Aje mahakamani tupate uhondo ule wakusema: wakili msomi akauliza hivi, akajibu hivi du!Atajijua yeye na kesi zake..
Akifungwa si atakuwa kashapoteza sifa ya kugombea urais jumla hata kwa miaka ya mbeleni?
tutaimwagia majiHii nchi hii, ni ngumu sana.
Mimi namtaka sana mkuu.Lissu maskini kila mtu anamkataa
Ok, nilikuwa najua moja ya masharti ya kugombea uwe hujawahi kutwa na jinai yeyote. Kumbe sivyo.Chini ya utawala wa Magufuli tu ndio hiyo sheria itafanya kazi.
Mkuu kweli nawe waamini kuwa huyu bwana anaweza kumkosesha jpm usingizi?Angeachwa ili aje, ajipime ubavu na JPM tuone Nani Baba Lao,
Mkuu na iwe hivyo,huyu lissu sio wakuonea huruma,nimuuaji wa watanzania,hatupaswi kulichukulia juu juu hili swala,Magufuli hajawahi kushindana kwa box la kura na akashinda. Fuatilia hata alipokuwa mbunge mara 4, ni mara ngapi aliwahi kushinda kwa box la kura? Niliposikia tu Lissu ametangaza kugombea, mara moja nilijua kesi yake itaanza haraka. Na kwa taarifa yako, hukumu yake tayari magu ameshapanga Lissu afungwe.
Muacheni huru msimuwinde Wala kumuwekea zengwe muone Kama treni halijaanza kurudi kinyumenyume.Mkuu kweli nawe waamini kuwa huyu bwana anaweza kumkosesha jpm usingizi?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mgombea nafasi ya udiwani,ubunge na urais sheria inatamka wazi kuwa asiwe ametiwa hatiani kwa kosa la jinai within five yearsAkifungwa si atakuwa kashapoteza sifa ya kugombea urais jumla hata kwa miaka ya mbeleni?
Alimuua mama yako?Mkuu na iwe hivyo,huyu lissu sio wakuonea huruma,nimuuaji wa watanzania,hatupaswi kulichukulia juu juu hili swala,
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hii kesi ipo kabla ya Lissu kuiomba Chadema imteuwe awe mgombea wao urais wa JMT.Angeachwa ili aje, ajipime ubavu na JPM tuone Nani Baba Lao,
Lissu ametiwa hatiani kwa kosa lipi?Mgombea nafasi ya udiwani,ubunge na urais sheria inatamka wazi kuwa asiwe ametiwa hatiani kwa kosa la jinai within five years
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app