Wadhamini wa Lissu waiomba Mahakama kutoa hati ya kumkamata Tundu Lissu

Wadhamini wa Lissu waiomba Mahakama kutoa hati ya kumkamata Tundu Lissu

Sihangaiki tena, wewe ndio Kati ya watoto mliozaliwa bila kuwafahamu baba zenu Kwa sababu mama alikuwa mhudumu wa kila mmoja!
Wewe si ndiyo umeanza kutaka mazoea na mimi, achana na mimi kabisa cheza na mashoga wenzako hapo Lumumba.
 
Mbowe angeona Tundu Lissu anafaa asingechukua fomu ya kuomba yeye ndo awe mgombea.

Ni kweli, ila Mbowe sio anayetushawishi tumkubali nani. Alifanikiwa hilo kwa Lowasa uchaguzi uliopita. Ila ajue sio kila siku ni Ijumaa. Safari hii tunataka tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, Lissu pekee ndio anaweza hilo.
 
Sisi ni wapiga kura tunaojitambua ile mbaya. Kizazi hiki sio cha ccm, bali ni kizazi tofauti kabisa.
Mkuu Tangu umejitambua sasa ni miaka mingapi ,na kipi kimewasaidi kama wapinzani,Mimi naona kuwa lissu anapewa sifa asizositahili,hana hata uwezo wa kufikisha wapika kura milioni tatu out of 29M

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hakuna anayetaka ww uridhike na sifa anazopewa Lissu. Hakuna wapiga kura 29m nchi hii, labda kwa data za kupika. Sisi wapiga kura tuna uhakika kabisa ccm huwa haishindi kihalali, ndio maana tunataka tume huru ya uchaguzi ili kila mtu ashinde kihalali.
 
Mkuu unaniogopesha sana,kwahiyo na wewe unadaftari lako la wapiga kura ambapo hawafiki 29M,hii si hatari sana

Nyie wapinzani acheni kubuni matukio na kutafuta huruma za wananchi,kamwe hazitawapeleka ikulu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Watu wengine humu, akili zao kama za meko tu! Hivi kweli kuna mtu wa kushindana na Tundu? Na mizengwe yote hii ni kumuogopa tu! Na hata wadhamini watakuwa wamenunuliwa kama hao wabunge wenye bei! Halafu watu wanajitoa ufahamu wanaongea pumba tu hapa! Shame!
 
Mkuu unaniogopesha sana,kwahiyo na wewe unadaftari lako la wapiga kura ambapo hawafiki 29M,hii si hatari sana

Nyie wapinzani acheni kubuni matukio na kutafuta huruma za wananchi,kamwe hazitawapeleka ikulu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app

Sina shaka na ninalolisema. Huyo aliyesema kuna wapiga kura 29m, ndiye aliyeongopea umma kuwa kuna viwanda 8000+ visivyoonekana, huku enzi za Nyerere kulikuwa na viwanda chini ya 500, lakini kila mtanzania wa enzi hizo alifahamu uwepo wake.
 
Mkuu Huyu lissu lazima atiwe hatiani,mbona liko wazi,huyu lissu ni hatari sana kwa ustawi wa jamii ya watanzania

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Nikikufananisha na makaburu waliomuona Mandela hivyo miaka ile na baadae wenyewe wakaja kumpa nchi nitakuwa nimekosea? Nipe tofauti ya lisu na mandela mtazamo wako kwa lisu na mtazamo wa makaburu kwa Mandela.
 
Kama huna akili unaweza kufikiri kuwa Tanzania kuna mahakama kumbe imewekwa mfukoni na mtu mmoja! View attachment 1482352
Zero b
JamiiForums1858942893.jpg

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Sisi ni wapiga kura tunaojitambua ile mbaya. Kizazi hiki sio cha ccm, bali ni kizazi tofauti kabisa.
Kizazi cha wavivu na wazembe, kinajiita kizazi cha Dot com. Lakini simu wanazotumia wanatengenezewa na wachina.
Wao hawawezi kutengeneza hata mdori was simu.
Useless people.
Kizazi kinacho zama jehanamu kwa njaa.
 
Hao wadhamini hawajaanza leo kuitaka mahakama ifanye hivyo na hajawahi kuzungumza lolote kuhusu hili.

Actually u-smart wake ni wa kufikirika zaidi kuliko uhalisia kama tunavyohubiriwa na wafuasi wake.

Badala ya kuendelea kung'aa sharubu ughaibuni,angesharejea kuweka sawa hivi vitu vidogo kama kweli ana nia na urais kuliko ilivyo sasa hiyo hati ikitoka siku akirudi tu wanae!
 
Back
Top Bottom