Wadhamini wa Lissu waiomba Mahakama kutoa hati ya kumkamata Tundu Lissu

Wadhamini wa Lissu waiomba Mahakama kutoa hati ya kumkamata Tundu Lissu

Magufuli hajawahi kushindana kwa box la kura na akashinda. Fuatilia hata alipokuwa mbunge mara 4, ni mara ngapi aliwahi kushinda kwa box la kura? Niliposikia tu Lissu ametangaza kugombea, mara moja nilijua kesi yake itaanza haraka. Na kwa taarifa yako, hukumu yake tayari magu ameshapanga Lissu afungwe.
Hata akifungwa, kwani ndo Mbowe hatagombea uras?
Mgombea ni Mbowe yeye tundu Lissu Hana ridhaa ya mwamba.
 
Wajinga, wapumbavu,waovu na waoga ndiyo wanamkataa
Hata Mbowe, Nyalandu, Msigwa na wengine wamemkataa ndo maana wakachukua fomu kuomba wao wagombee na si Lissu baada ya kuona Lissu kachukua fomu kwa hiyo hao ndo wajinga, wapumbavu, waovuna waoga ndiyo wanamkataa.
 
Tukumbushe waliompiga risasi wamekatwa? Na kama bado unajua walipo na wanayoyapanga tena juu yake? Ni jukumu la nani kuwakamata? Kuna jitihada zozote zimefanyika so far?
Aulizwe mbowe ndio master mind
 
Tangu nianze kukufahamu wewe hapa, Douglas sallu, sjawahi kuona mchango wako usio na matusi, hivi wewe ni Binadamu? Ama ni skeleton?
Sifa yao kuu Ni matusi sio hoja kwa hoja,hii inadhihirisha hawana hoja!!!
 
Mkuu na iwe hivyo,huyu lissu sio wakuonea huruma,nimuuaji wa watanzania,hatupaswi kulichukulia juu juu hili swala,

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app

Ni hivi, Lissu ni hatari kwa maslahi binafsi ya Magufuli katika ile mtazamo wake wa kuwaongoza watanzania kwa shuruti. Jitahidi kutenganisha watanzania na utashi binafsi wa urais wa Magufuli.
 
Tangu nianze kukufahamu wewe hapa, Douglas sallu, sjawahi kuona mchango wako usio na matusi, hivi wewe ni Binadamu? Ama ni skeleton?
Mimi ndiye baba yako mzazi, yule unayemjua alibambikiwa tu,kamuulize bimkubwa wako atakueleza vizuri.
 
Hata akifungwa, kwani ndo Mbowe hatagombea uras?
Mgombea ni Mbowe yeye tundu Lissu Hana ridhaa ya mwamba.

Lisu ndio chaguo letu sisi wapiga kura wengi wa upinzani. Alichotufanyia Mbowe uchaguzi wa 2015 wa kutuletea Lowassa kimetutosha. Wangalau Tundu Lisu ndio anayeweza kutufanya tukapige kura chini ya tume hii isiyo huru ya uchaguzi, na iwapo zitachezewa ndio anaweza kutuongoza kufungua ukurasa mpya wa siasa za Tanzania.
 
Mujahideen huyo, ngoja akabonyezwe kidogo mifupa hiyo
 
Lisu ndio chaguo letu sisi wapiga kura wengi wa upinzani. Alichotufanyia Mbowe uchaguzi wa 2015 wa kutuletea Lowassa kimetutosha. Wangalau Tundu Lisu ndio anayeweza kutufanya tukapige kura chini ya tume hii isiyo huru ya uchaguzi, na iwapo zitachezewa ndio anaweza kutuongoza kufungua ukurasa mpya wa siasa za Tanzania.
Mbowe angeona Tundu Lissu anafaa asingechukua fomu ya kuomba yeye ndo awe mgombea.
 
Mimi ndiye baba yako mzazi, yule unayemjua alibambikiwa tu,kamuulize bimkubwa wako atakueleza vizuri.
Sihangaiki tena, wewe ndio Kati ya watoto mliozaliwa bila kuwafahamu baba zenu Kwa sababu mama alikuwa mhudumu wa kila mmoja!
 
Hata Mbowe, Nyalandu, Msigwa na wengine wamemkataa ndo maana wakachukua fomu kuomba wao wagombee na si Lissu baada ya kuona Lissu kachukua fomu kwa hiyo hao ndo wajinga, wapumbavu, waovuna waoga ndiyo wanamkataa.
Wewe hamnazo hutoshi kuijadili hii hoja kama wao kuchukua form unaona ndiyo kumkataa basi kunywa maji ulale.
 
Back
Top Bottom