Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Hata akifungwa, kwani ndo Mbowe hatagombea uras?Magufuli hajawahi kushindana kwa box la kura na akashinda. Fuatilia hata alipokuwa mbunge mara 4, ni mara ngapi aliwahi kushinda kwa box la kura? Niliposikia tu Lissu ametangaza kugombea, mara moja nilijua kesi yake itaanza haraka. Na kwa taarifa yako, hukumu yake tayari magu ameshapanga Lissu afungwe.
Mkuu umeshindwa kunijibu kwa hoja uamua kumisambulia,haya bwana.Ali
Alimuua mama yako?
Hujamwelewa Erythrocyte, rudia kusoma Tena.Acha utoto,mtu yupo ulaya mzima wa afya kwa nini haji mahakamani? Au haujui huu ni utaratibu wa kisheria!
Mkuu Huyu lissu lazima atiwe hatiani,mbona liko wazi,huyu lissu ni hatari sana kwa ustawi wa jamii ya watanzaniaLuss
Lissu ametiwa hatiani kwa kosa lipi?
Hata Mbowe, Nyalandu, Msigwa na wengine wamemkataa ndo maana wakachukua fomu kuomba wao wagombee na si Lissu baada ya kuona Lissu kachukua fomu kwa hiyo hao ndo wajinga, wapumbavu, waovuna waoga ndiyo wanamkataa.Wajinga, wapumbavu,waovu na waoga ndiyo wanamkataa
Aulizwe mbowe ndio master mindTukumbushe waliompiga risasi wamekatwa? Na kama bado unajua walipo na wanayoyapanga tena juu yake? Ni jukumu la nani kuwakamata? Kuna jitihada zozote zimefanyika so far?
Sifa yao kuu Ni matusi sio hoja kwa hoja,hii inadhihirisha hawana hoja!!!Tangu nianze kukufahamu wewe hapa, Douglas sallu, sjawahi kuona mchango wako usio na matusi, hivi wewe ni Binadamu? Ama ni skeleton?
Mkuu na iwe hivyo,huyu lissu sio wakuonea huruma,nimuuaji wa watanzania,hatupaswi kulichukulia juu juu hili swala,
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mkuu kweli nawe waamini kuwa huyu bwana anaweza kumkosesha jpm usingizi?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
[/QUOT
Mimi ndiye baba yako mzazi, yule unayemjua alibambikiwa tu,kamuulize bimkubwa wako atakueleza vizuri.Tangu nianze kukufahamu wewe hapa, Douglas sallu, sjawahi kuona mchango wako usio na matusi, hivi wewe ni Binadamu? Ama ni skeleton?
Hata akifungwa, kwani ndo Mbowe hatagombea uras?
Mgombea ni Mbowe yeye tundu Lissu Hana ridhaa ya mwamba.
Tutapambana tu kwa vile sisi ni wanaumeSasa wamegoma mtafanyaje??
Licha ya mabalaa yake CCM yapaswa tumuonee hurumaLissu maskini kila mtu anamkataa
Mara ngapi, hivi kujaza wapiga zumari kumshambulia humu si ndiyo kukosa usingizi kwenyewe kama hana madhara si mungeuchuna tu aje aibike mwenyewe?Mkuu kweli nawe waamini kuwa huyu bwana anaweza kumkosesha jpm usingizi?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Ndo sielewi hapo mnapoomba kitu kisichowezekana huku mnajua kabisa ni ngumuTutapambana tu kwa vile sisi ni wanaume
Mbowe angeona Tundu Lissu anafaa asingechukua fomu ya kuomba yeye ndo awe mgombea.Lisu ndio chaguo letu sisi wapiga kura wengi wa upinzani. Alichotufanyia Mbowe uchaguzi wa 2015 wa kutuletea Lowassa kimetutosha. Wangalau Tundu Lisu ndio anayeweza kutufanya tukapige kura chini ya tume hii isiyo huru ya uchaguzi, na iwapo zitachezewa ndio anaweza kutuongoza kufungua ukurasa mpya wa siasa za Tanzania.
Sihangaiki tena, wewe ndio Kati ya watoto mliozaliwa bila kuwafahamu baba zenu Kwa sababu mama alikuwa mhudumu wa kila mmoja!Mimi ndiye baba yako mzazi, yule unayemjua alibambikiwa tu,kamuulize bimkubwa wako atakueleza vizuri.
Wewe hamnazo hutoshi kuijadili hii hoja kama wao kuchukua form unaona ndiyo kumkataa basi kunywa maji ulale.Hata Mbowe, Nyalandu, Msigwa na wengine wamemkataa ndo maana wakachukua fomu kuomba wao wagombee na si Lissu baada ya kuona Lissu kachukua fomu kwa hiyo hao ndo wajinga, wapumbavu, waovuna waoga ndiyo wanamkataa.