Wadogo zangu mnapotea, bila nidhamu ya pesa utaenda kukariri plate number za wenzako

Huu uzi burudan kweli, nasoma story nacheka sana aisee
 
Huyo anazungumza hivyo mawili, either akikaa mwenyewe nafsi inamuuma na kujiona mjinga ama hata hiyo pesa yenyewe hajaishika na kuifanyia ujinga huo anachangamsha genge tu 😂😂.

All in all hapangiwi mtu maisha fainali ni uzeeni.
Kabisa

Deepdown huwa inauma sana
 
Bingwaa kabisa usipokuwepo mezani wana hawana amani utapigiwa simu zote 😂😂
 
😂😂 inawezekana vipi hizi scenarios zinafanana hivi hivi???
Kuna mda ukijisachi na kugundua umebakisha 4500 unarudi kulala na hutaki kuamka tena 😂😂😂
 
😂😂 inawezekana vipi hizi scenarios zinafanana hivi hivi???
Kuna mda ukijisachi na kugundua umebakisha 4500 unarudi kulala na hutaki kuamka tena 😂😂😂
Yaan ndo kinachofanya huu uzi uwe interesting sana, story zote ni mulemule, mizunguko tofauti ila conclusion ni moja.

Hivi ushawahi kumka ukaanza kujisachi kila kona angalau ufikishe 3000 ukanywe supu na jana yake umetumia kama laki?
 
[emoji23][emoji23] inawezekana vipi hizi scenarios zinafanana hivi hivi???
Kuna mda ukijisachi na kugundua umebakisha 4500 unarudi kulala na hutaki kuamka tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena usingizi wake unakuwa ule wa stress plus njozi mbayambaya tu[emoji1787][emoji1787]

Pengine na simu ukazima kabisa [emoji23].

Halafu unaanza kujiahidi kinafiki kwamba siku hiyo ndio ya mwisho kutumia pesa vibaya [emoji23][emoji23]
 
Yaan ndo kinachofanya huu uzi uwe interesting sana, story zote ni mulemule, mizunguko tofauti ila conclusion ni moja.

Hivi ushawahi kumka ukaanza kujisachi kila kona angalau ufikishe 3000 ukanywe supu na jana yake umetumia kama laki?
[emoji23][emoji23] dah...haya mambo magumu sana.
 
Tena usingizi wake unakuwa ule wa stress plus njozi mbayambaya tu[emoji1787][emoji1787]

Pengine na simu ukazima kabisa [emoji23].

Halafu unaanza kujiahidi kinafiki kwamba siku hiyo ndio ya mwisho kutumia pesa vibaya [emoji23][emoji23]
You See! Same same things used to happen to me 😂😂😂
 
Yaan ndo kinachofanya huu uzi uwe interesting sana, story zote ni mulemule, mizunguko tofauti ila conclusion ni moja.

Hivi ushawahi kumka ukaanza kujisachi kila kona angalau ufikishe 3000 ukanywe supu na jana yake umetumia kama laki?
Unakutana na 1800, alafu unacheki luku imeisha na ni mwanzoni wa mwezi 😂
 
'Kaka' acheni wadogo zako wale bata hawana majukumu; wakiwa na majukumu wataanza kusave. Kwanini wajitese wakati huu ilhai bado wana nafasi ya kula bata? Bata inanoga ujanani; uzeeni unakuwa ni mtu wa kliniki ya presha, macho figo, filigisi, nk.....hutakuwa na nafasi ya kula bata.
 
ila pombe jamani[emoji119][emoji119][emoji119],

Nashukuru Mungu sina hulka ya mademu hata nilewajeee, ukiona nimekaa na demu ujue nimepanga na sitalewa

nazani ndomana nikitumia sana ela ni elf 40 hata niwe na laki na nusu....,

ila vijana wenzangu tujitahidi kula bata kwa pesa za pembeni au za Dili ila si hizi mishahara au Biashara....Najua kuacha ni changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…