Nidhamu ya pesa ni mtihani mzito shekh!
Imagine umehangaika zako mara umepiga βmshindoβ wako alafu ukiangalia ndio weekend imeingia kila mahali ukipita unamsikia mariooo
βShiiiiiiii badiiiiiβ
βnilikuwa na wanangu kina chinoooβ
βniseme nsisemee, semaaaaβ X 2
Ukizidi kusogea unamsikia jux nae ,
βhuyuuu demu ake naniiii, anpandisha midadiii, anitafutia lawama,β¦β¦β¦.β
Ukisema uzame ndaniii tu kwisha habari yako, unakuta watoto wamepanda juu ya meza wanacheza na wamependeza balaaa!
Unaendaje kulala mkuu, au tukuulize,
we kuwezaaa???
Nyie achenii banaa starehe ni tamuuu [emoji23][emoji23]
Tukiamka asubuhi ndio majuto huanza.