General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Mfano kuanzia ijumaa ya leo unatoboaje J3 hivi-hiv...?Kumbe wahanga tuko wengi [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano kuanzia ijumaa ya leo unatoboaje J3 hivi-hiv...?Kumbe wahanga tuko wengi [emoji23]
Sure thing mkuu,Kabisa mkuu, hapa cha muhimu kama mtu unataka uchomoke haraka uwe na wale marafiki ambao wao tunaweza kuwaita 'wanafiki' au 'wajanja' lkn wa maendeleo. Kuna marafiki mnakula bata wote ila ikifikia saa fln yeye humuoni, au anakunywa kdg kachangamka lkn saa nne tu huyooo ashaondoka, wewe unabaki unafukuzia madem, dem kakukalisha anaagiza tu, saa saba anakwambia anaenda kulala kwake, unaanza kutafuta malaya mwingine, hapo kuja kushtuka kesho yake ushamwaga kama 300k, ndo unakutana na mchizi wako 'mnaaa'. Hao wachizi wanasaidia sana kukufanya ushtuke na ujione mjinga kisha unakua na hasira ya kutoka huko
Uko sawa, tunapopishania ni hapo tu kunywea bia nyumban, mimi nilishashindwa kabisa.Sure thing mkuu,
Mimi nilijifunza in hard ways, kwanza kuna kampani nilipiga chiiniii, then ikawa nakunywa sio kwa sababu wana wanakunywa ila nakunywa nikiona mimi nahitaji kufanya hivyo tena kwa budget na kiwango ninachoona mimi kinafaa.
Muda mwingi pia nakunywa kwangu, kutoka ni kwa machale sanaa 😂😂,
Lazima ukae kimalengo.
Yeees! Ni kweli kabisa mzee, hii mentality ya kesho nitapiga mshindo mwingine, imetugharimu sanaaa.Waliojiajiri ndo inawakumba sana, kuna kale ka kiburi ka "kesho ipo, nitapata tena" sasa hio ni trap moja mbaya sana, inawakuta hata wavuvi na watu wa madini, usiombe uingie kwenye hio trap
hebu shusha madini ,,,,huu ndo uzuri wa jf nipoint directionMkuu mbona hii kazi yako unaweza kujiajiri kwa gharama ndogo , tena na bando la kuingia online unalo kabisa jitafute mkuu
Mkuu mwalimu yupi anapokea laki tano nije tumuweke kwenye makumbusho ya taifaWiki 2 zilizopita si umepata hela ambayo mwalimu anatumia mwezi mzima kuipata" ,
HahahahaaaMkuu mwalimu yupi anapokea laki tano nije tumuweke kwenye makumbusho ya taifa
Hii ishaniponza sanaa 😂😂, ndio sababu ya kunifanya nijinywie zangu nyumbani.hii kunywa na wana ndo mbaya sababu unanywea sifa na kuwapa offa wadau inakukamua balaa
Hii inaambatana na kufukuzia kale ka heshima ka kuwa 'wewe ndo mkuu wa meza, jemedari mwenyewe AKA Suleimani wao'Hii ishaniponza sanaa 😂😂, ndio sababu ya kunifanya nijinywie zangu nyumbani.
Kuna ile feelings upo na wadau alafu waleti imevimba hutaki kuona wanao wanajisikia unyonge, basi kabla mezani hakujakauka ushamwita muhudumu adouble round,
Mara umeenda toilet, basi unapitia na jikoni ushaagishia kilo mbili ya nyama choma wana wanashangaa meza inapendeza tu.
Kumbe pale unajiumiza mwenyewe tu 😂, asubuhi wana wanaishia kukupigia simu kukuuliza “vipi chief umeamka salama???” hapo ukikumbuka ya jana unazidi kuchafukwa na simu unaizimila mbali 😂😂
💯🤝Lazima ukae kimalengo.
💯🤝Kikubwa malengo. Hawa madogo wa siku hizi kila kitu wanaona wanachelewa. Wanafikiri zipo hela za kudondoka moja kwa moja nyingi,halafu afanye mambo yote kwa mkupuo.
💯🤝Yaani totozi na gambe ndiyo moto wa kuchomea hela za wengi
📌📌📌📌📌📌Yaani totozi na gambe ndiyo moto wa kuchomea hela za wengi
Ndo tatizo kubwa, mtu anataka kitu cha milion, hataki kutunza 50k anayopata hadi ifikie huko, akipata 50k chap anafikiri kuitumia tu.Kikubwa malengo. Hawa madogo wa siku hizi kila kitu wanaona wanachelewa. Wanafikiri zipo hela za kudondoka moja kwa moja nyingi,halafu afanye mambo yote kwa mkupuo.
Bora uwe unapiga kimoja lakini ikiwa vyote, ndiyo balaa zaidi