Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Safi sana kiongozi mapambano muhimu. Piga kazi kanyaga twende.
 
Chimbo la viatu aina ya moka brand ya clacks naweza pata wapi kariakoo wajuvi?
 
Nilisikia huwa vinapatikana saa kumi na moja alfajiri kule kariakoo kwenye vipodozi

Mkuu Hornet , uko poa?

Kuna uzi fulani siukumbuki, ulikuwa wewe na mdada (simkumbuki) mnajadiliana kuhusu namna/formula ya kutengeneza 'mkorogo' wa asili/kienyeji for women. Huyo mdada ndiye mkufunzi wa hiyo formula na akasema huo mkorogo alikuwa anauza sana.

Nikumbushe username ya huyo mdada.
 
Msaada kidogo ndugu, rafiki na jamaa ni chimbo gani naweza kupata spea za magari na pikipiki wa bei ya jumla kwa ajili ya duka langu nipo mkoani lindi.?
 

Naitafuta pia siioni
Hata ile uzi siuoni pia
 
Msaada kidogo ndugu, rafiki na jamaa ni chimbo gani naweza kupata spea za magari na pikipiki wa bei ya jumla kwa ajili ya duka langu nipo mkoani lindi.?

0778 736 821
Mchek huyu
Ila WhatsApp only
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…