Mhina Martin
Senior Member
- Apr 3, 2017
- 144
- 189
Ahsante Sana pamojaSafi sana , kila hatua Dua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante Sana pamojaSafi sana , kila hatua Dua
Safi sana kiongozi mapambano muhimu. Piga kazi kanyaga twende.Habari Wadau Nashukuru Nimerudi mkoan salama Jana Mrejesho kwenye ununuzi wa bidhaa za yebo yebo Na slippers Zipo Mtaa wa Msinbazi kariakoo kuna Ndala, slippers,yebo yebo Za Kila Aina Bei za jumla nilizokutana nazo zipo za 2600,2800,3500,5500,6000 kuanzia pic's 6 Nami nimeondoka Na mzigo wa Kuanzia biashara pic's 107 nizizuungushe masokoni nteleta mrejesho Wakuu.
Ninazo tshirt Kali nzuryanayejua chimbo la T shirt kali ambazo hazina mambo mengi
maduka mengi yanauza ma tshirt yenye machata chata mengi.
I mean zile T shirt Casual unavaa kokote A.K.A Za kiutu uzima and classic
Zile zimeisha ziko za 14k 🤣🤣 mikono mifupi
Na tshirt zipoZile zimeisha ziko za 14k 🤣🤣 mikono mifupi
shirt kma hzi unazo??Na tshirt zipo
Mikonoirefu au?shirt kma hzi unazo??View attachment 2659609
hta mifupiMikonoirefu au?
Nilisikia huwa vinapatikana saa kumi na moja alfajiri kule kariakoo kwenye vipodozi
Wapi naweza pata Godoro au sheet zinazotumika kutengenezea sofa, kwa bei ya jumla?
Sikupata kwenye huu uzi lkn kuna group moja ndo nilipatia hukoMkuu chimbo la nywele (rasta) ulipata? sbj cheka
Sikupata kwenye huu uzi lkn kuna group moja ndo nilipatia huko
Mkuu Hornet , uko poa?
Kuna uzi fulani siukumbuki, ulikuwa wewe na mdada (simkumbuki) mnajadiliana kuhusu namna/formula ya kutengeneza 'mkorogo' wa asili/kienyeji for women. Huyo mdada ndiye mkufunzi wa hiyo formula na akasema huo mkorogo alikuwa anauza sana.
Nikumbushe username ya huyo mdada.
Msaada kidogo ndugu, rafiki na jamaa ni chimbo gani naweza kupata spea za magari na pikipiki wa bei ya jumla kwa ajili ya duka langu nipo mkoani lindi.?