Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wapi nitapata baby diapers za bei rahisi kwa maeneo ya dar?
 
Mtaa wa Muhonda ndo kuna kila aina za nguo za ndani kama sox..tight..boxer za watoto..wanawake bila kusahau wanaume!
Asante kwa msaada, hata tuliokuwa na mawazo ya kuanza biashara tushapata mwanga kiasi flan
 
Chimbo la manga na tshirt napotokeaga mm.. ni opposite na mlango wa kuingia shimon ukiwa ple ukiuliza kwa waburushi wa plain tshirt wap watakuonesha tu.. cz wako kwa ndan ndan iv sio nje tu.. so sio rahisi kukuelekeza sana lkn fanya ivo
Shukran mkuu.
 
Rafiki kwasasa kuna maagent wa wachina mnaagiza mizigo kwa kilo na unakuja unauza biashara hapa kama kawaida
Kwanza kama anataka biashara serious hyo 10ml haitosh, anatajiwa awe angalau na dola 10k itamsaidia kupata faida kwa 75%
 
Wadau nahitaji kujua maduka ya nguo za kike na viatu vya kike yanayouza jumla kwa bei poa yapo mitaa gani hapo Dar,mi nipo mikoani
 
Asanteh sana wakuu nimefanikiwa kupata baadhi ya bidhaa ambazo nimepata muongozo hapa mbarikiwe sana aisee.

Ila bado natafuta mtu ambae anauza hizi bidhaa kwa bei ya jumla, au anaepajua. Ahsanteh

 
Naomba kufahamu robota la Koti na suruali grade A kutoka Korea ni sh ngapi? Tuwasiliane 0754710823
 
Naomba kufahamu robota la makoti na suruali kutoka Korea grade A ni sh ngapi na yanapatiana wapi??
 
Huu uzi umeenda vizuri hadi raha tuendelee kusaidiana tu kuelekezana inapendeza zaidi,samahani niliochelewa kujibu quote zenu!tatizo sikuhizi sipati notifications za jf!!![emoji52]
Habari dada..
Naomba msaadaa kwa huyo mchina anayeuza cheni..
Na pia kama unajua chimbo la nguo za ndani za kike..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…