Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chimbo la manga na tshirt napotokeaga mm ni opposite na mlango wa kuingia shimon ukiwa ple ukiuliza kwa waburushi wa plain tshirt wap watakuonesha tu.. cz wako kwa ndan ndan iv sio nje tu.. so sio rahisi kukuelekeza sana lkn fanya ivo.Mkuu Nahitaji Chimbo la t-shirt forms na manga. Ni pm Tafadhali.
Asante kwa msaada, hata tuliokuwa na mawazo ya kuanza biashara tushapata mwanga kiasi flanMtaa wa Muhonda ndo kuna kila aina za nguo za ndani kama sox..tight..boxer za watoto..wanawake bila kusahau wanaume!
Huu uzi safi sana barikiwa uliyeianzisha mi najifunza tuuNenda SIDO Pugu Road. Namba zao ni
0673232073
0763720166
Hapana si lazima
Shukran mkuu.Chimbo la manga na tshirt napotokeaga mm.. ni opposite na mlango wa kuingia shimon ukiwa ple ukiuliza kwa waburushi wa plain tshirt wap watakuonesha tu.. cz wako kwa ndan ndan iv sio nje tu.. so sio rahisi kukuelekeza sana lkn fanya ivo
Kumbe kuanzia shiling ngp kama sio lazima 10m?hapana si lazima
Rafiki kwasasa kuna maagent wa wachina mnaagiza mizigo kwa kilo na unakuja unauza biashara hapa kama kawaidaKumbe kuanzia shiling ngp kama sio lazima 10m?
Kwanza kama anataka biashara serious hyo 10ml haitosh, anatajiwa awe angalau na dola 10k itamsaidia kupata faida kwa 75%Rafiki kwasasa kuna maagent wa wachina mnaagiza mizigo kwa kilo na unakuja unauza biashara hapa kama kawaida
Dada huu mzigo unauza au unapatikana wapi kama hauzi wewe?
Travota zinapatokana kwa gunia ale peke yake??kama nikichagua utaniuziaje kwa ujazo wa gunia??Nina mzigo wa jumla wa viatu simple gunia moja ntauuza kwa bei nafuu ni pm
Naomba kufahamu robota la makoti na suruali kutoka Korea grade A ni sh ngapi na yanapatiana wapi??Ngoja nikupe machimbo eh best kizuri kula na mwenzio...Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule mnazi mmoja wengi wanaouza k.koo wanaenda kufata huko, Viatu navyo vinapatikana huu mtaa wa Narung'ombe na congo pale nenda straight kwenye maduka ya wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini nop unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile visandles wanauza 2500/pc. Cheni zama mchikichi katikati kuna mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki.Magauni nayo ingia ndanindani kule congo na aggrey wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka kutype ah.
I'm reading this in 2018. Hongera kwa roho nzuri.Hongera kwa kuwa na roho nzuri
Habari dada..Huu uzi umeenda vizuri hadi raha tuendelee kusaidiana tu kuelekezana inapendeza zaidi,samahani niliochelewa kujibu quote zenu!tatizo sikuhizi sipati notifications za jf!!![emoji52]