Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Naitaji kujua sehemu ya kununua materials za kutengenezea sabuni za maji na shampoo ....
 
Husika na somo tajwa hapo juu,

Nitapata wapi chimbo la nguo za watoto kuanzia pumpus hadi nguo za kuvaa kwa bei ya jumla, kwa sisi wenye mitaji midogo tusioweza kwenda China?
 
Kama uko Dar nenda mitaa kulia na kituo cha polisi cha msimbazi

Mkuu unaufahamu machimbo ambayo naweza pata nguo hizi za kanzu kwa bei ya jumla ambazo zile za sasa za rangi tofauti maana maduka ya kawaida 25k mpaka 20k bila shak maduka ya jumla ni bei nzuri zinapatikana.Ahsanteh
 
Ngoja ni.

Dada unaufahamu machimbo ambayo naweza pata nguo hizi za kanzu kwa bei ya jumla ambazo zile za sasa za rangi tofauti maana maduka ya kawaida 25k mpaka 20k bila shak maduka ya jumla ni bei nzuri zinapatikana.Ahsanteh
 
Mkuu unaufahamu machimbo ambayo naweza pata nguo hizi za kanzu kwa bei ya jumla ambazo zile za sasa za rangi tofauti maana maduka ya kawaida 25k mpaka 20k bila shak maduka ya jumla ni bei nzuri zinapatikana.Ahsanteh
Sehemu za kanzu sifahamu lakini kama uko Dar jaribu kuulizia kwenye misikiti iliyopo Kariakoo
 
Wakuu,

Naomba kuzifahamu chimbo za vifaa vya simu, umeme na electronics.

Kwa bei ya jumla na nafuu zaidi.

Nawasilisha wakuu
 
Back
Top Bottom