Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni pm tufanye biasharaNaitaji kujua sehemu ya kununua materials za kutengenezea sabuni za maji na shampoo ....
Kama uko Dar nenda mitaa kulia na kituo cha polisi cha msimbaziNaomba kuunganishwa na mtu anayefanya biashara ya nguo za watoto za dukani.
Mie piaAsante mkuu,naomba kufahamishwa nami
Asante mkuu.Wanakuja Boss
Kama uko Dar nenda mitaa kulia na kituo cha polisi cha msimbazi
Ngoja ni.
Sehemu za kanzu sifahamu lakini kama uko Dar jaribu kuulizia kwenye misikiti iliyopo KariakooMkuu unaufahamu machimbo ambayo naweza pata nguo hizi za kanzu kwa bei ya jumla ambazo zile za sasa za rangi tofauti maana maduka ya kawaida 25k mpaka 20k bila shak maduka ya jumla ni bei nzuri zinapatikana.Ahsanteh
Sawa boss wangu ila wengi mule ni madalali sasa hawa viumbe siwataki asee mpaka masheikh sasa hivi wapo madalali.Sehemu za kanzu sifahamu lakini kama uko Dar jaribu kuulizia kwenye misikiti iliyopo Kariakoo
Wakuu,
Naomba kuzifahamu chimbo za vifaa vya simu, umeme na electronics.
Kwa bei ya jumla na nafuu zaidi.
Nawasilisha wakuu
Nicheki kwa namba hii 0754660061Wakuu,
Naomba kuzifahamu chimbo za vifaa vya simu, umeme na electronics.
Kwa bei ya jumla na nafuu zaidi.
Nawasilisha wakuu
Unapatikana wapi na bei yako ni gani?Nina mzigo wa jumla wa viatu simple gunia moja ntauuza kwa bei nafuu ni pm