Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Habari ndg, naomba mnijulishe wapi naweza kupata vifaa vya pikipiki kwa bei nafuu ya jumla nataka kufungua duka la vifaa vya pikipiki.
Asante sana
 
  • Thanks
Reactions: Osu
Habari, wadau
Tuna huduma kwa wanakariakoo na wengine wote. Pia huduma hizi zina support biashara zako na kukjrahisishia mchakato mzima

* Kusajili kampuni
* Hesabu za Kodi, Hesabu za Kampuni,
*Kuandaa Memorandum....I
* Kuandika Business Plan, Business Profile,
* Kuandaa Tender documents, CRB
*Kutengeneza LOGO, Business Cards, Brochures, Banners
* Printing - All types of Books
*Digital Printing: T-SHIRTS, CAPS, BAGS, PLATES, CUPS, etc.
TUPIGIE/ MESEJI - 0684 205039: WATSUP TU 0652 411402


ungefuata ushauri wa serio ingekuwa vyema zaidi kuliko kuvamia thread ya vyombo vya nyumbani.
 
Wanaotaka bidhaa za jumla ni natuma kutoka China Guangzhou
+8618857052304
 
Hello....kwa wafanyabiashara ni natuma mizigo from Guangzhou
Handbags za wadada,
Underwears za watoto, na wakubwa
Instagram yangu @panda_sourcing
WhatsApp +8618857052304
 
Sasa nauli tu ya kwenda kule si mtaji unaisha kabisa. Na mzigo unasafirishwaje sasa kuja Tz ? Vp ushuru pia?

Kama mtaji mdogo Tunis mtu anaetuma mizigo Bongo
Mimi natuma mizigo ya bei ya jumla kwanzia chupi, nguo za watoto na za wakubwa, viatu, accessories
Usafiri ni MELI 35-40 days
Mzigo unapimwa kwa CBM na costs utakazolipia ni pamoja na ushuru TRA. Maana unatuma mzigo kama loose cargo, shipping agent anaclear mzigo wako
Wewe ni kuufuata warehouse
 
Vp kuhusu nguo za ndani za kina mama

Mimi ni natuma mizigo from Guangzhou na nguo za ndani za watoto hadi wakubwa ninatuma kwa mabelo!!!
BELO linakuwa na 100-200 dozens
1200-1500 pieces za chupi au boxers
Bei inakuwa nzuri ukijumua kwa mabelo!!!
If interested please contact me WhatsApp +8618857052304
Check my Instagram page @panda_sourcing
 
Back
Top Bottom