Martin Mshomi
New Member
- Mar 30, 2018
- 1
- 1
Habari ndg, naomba mnijulishe wapi naweza kupata vifaa vya pikipiki kwa bei nafuu ya jumla nataka kufungua duka la vifaa vya pikipiki.
Asante sana
Asante sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari, wadau
Tuna huduma kwa wanakariakoo na wengine wote. Pia huduma hizi zina support biashara zako na kukjrahisishia mchakato mzima
* Kusajili kampuni
* Hesabu za Kodi, Hesabu za Kampuni,
*Kuandaa Memorandum....I
* Kuandika Business Plan, Business Profile,
* Kuandaa Tender documents, CRB
*Kutengeneza LOGO, Business Cards, Brochures, Banners
* Printing - All types of Books
*Digital Printing: T-SHIRTS, CAPS, BAGS, PLATES, CUPS, etc.
TUPIGIE/ MESEJI - 0684 205039: WATSUP TU 0652 411402
ungefuata ushauri wa serio ingekuwa vyema zaidi kuliko kuvamia thread ya vyombo vya nyumbani.
Nimenunua Jana jumla 25000,mtaa karibu na shimoni sokoniNaweza nikapata mikoba kam hio sehem gan kkoo kwa bei nafuu mn kuna watu wanabei mbaya sana View attachment 1013969View attachment 1013971View attachment 1013972
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijibiwa ni tag mkuuHabari ndg, naomba mnijulishe wapi naweza kupata vifaa vya pikipiki kwa bei nafuu ya jumla nataka kufungua duka la vifaa vya pikipiki.
Asante sana
Yule Kahama pale. Sijapata sehemu nzuri badoMkuu anazo dizain hz ??me naztk hz kwa jumla yani kuna mtu anabei kubwa sana jumla 35000View attachment 1014004View attachment 1014005
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo wenye kiua cha pink ndo nliiona hiyo mingine hapana sikuiona.
jamani chupi classic za bei nzuri zinapatikana wap.chupi za kike
Sasa nauli tu ya kwenda kule si mtaji unaisha kabisa. Na mzigo unasafirishwaje sasa kuja Tz ? Vp ushuru pia?
ok ngoja nikutaftie link nakuinbox
Vp kuhusu nguo za ndani za kina mama