Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Kwa wafanyabiashara wa Jumla. Nauza jeans kwa bei ya 14,000/- jumla na Tshirt 13,500 Jumla Cotton high Quality. Pull over 11,000/- kwa 12,000/-.
79C7A4E9-54C0-48CE-A4FC-83C4465C9096.jpeg
D815361C-3857-4CC9-973F-2679F991F5C8.jpeg


Duka langu lipo MTAA WA MCHIKICHI.
0719-100-591 WhatsApp/ Call.
Asante kwa support.
1D10B221-7147-4C94-BDC2-A5EFD11DD919.jpeg
C81ED6DD-A741-4439-A6B1-F0DAD1859E85.jpeg
 
Mkuu Hornet , naomba msaada wako madam. Wapi nitapata nywele kwa bei ya jumla:

1. Rasta
2. Konky
3. Mambo twist
4. Selfee

Na vifaa vifuatavyo:

a) Mirija ya kusetia nywele
b) Bomba za kusetia nywele
c) Weave
d) Rotabody
e) Uzi wa brazil
f) Uzi wa kawaida (mweusi)
g) gloves za salon
 
Hivi naweza pata wapi vifaa vya umeme,nafanya "wiring" nyumba.
 
Hahahah nitakupa mtu akusindikize maana kwa nature ya job yangu sitoki nje weekdays na weekdays shop nyingi ndo zinakua wazi jmos nusu siku possibilty ya kufanikiwa inakua kidogo na jumapili ndo kabsaa.
mkuu naomba unipm au nicheck whatsapp 0769621149 natanguliza shukran
 
Naomba kujua ni wapi chimbo la burner za mitungi midogo ya gas Kwa bei nafuu?
 
Kwa Mtu anayejua wanapouza vifaa vya stationery vya jumla anicheck PM tafadhali.
 
  • Thanks
Reactions: Osu
Naomba kuelekezwa maduka ninayoweza pata nguo za watoto kwa bei ya jumla,watoto kuanzia 0_10
 
Chimbo la suti za kiume Kwa bei ya jumla nicheki

Join WhatsApp group kwa maelezo zaidi
[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Tunatuma bidhaa mbalimbali kutoka Dubai ikiwemo simu,laptops,tablets,spea za magari na vinginevyo
IMG_20220722_003744_064.jpg
 
Mi kuna machinga nilikuwa nachukua mzigo kwake,hivyo nampa pesa ye anazunguka kwenda kuchukua mzigo.Ukimuuliza asemi, siku nilienda na vijana wangu watatu ambapo yeye hakuwaona. Hivyo nilivyomkabidhi pesa akaondoka, vijana wangu wakamfuatilia mpaka wakajua maduka yote aliyoingia. Tangia siku hiyo hajaniona na majamaa wa madukani washanizoea hata bila pesa wananipa mzigo au wanatuma mkoani.
Habari ni aina gani ya bidhaaa?
 
Mahitaji ya mazulia,foronya za manyoya, cover za kuvalisha kwenye sofa na za vitanda zinazozuia vimiminika vyote,viatu vya wadada pia vipo piga simu au WhatsApp 0744588176
IMG_20220720_183738_547.jpg
 
Back
Top Bottom