Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #61
Mkuu mm sio mwalimu, saizi mm naenda zangu wavuvi camp tu invoice ya laki mbili inatosha peke angu Sina shida ndogo ndogo uzuri naendaga jumamosi tuuTicha naona umejipata umepanda daraja nini ukaenda kuosha nyota elements. Ulihama Ushirimbo?
Mkuu unanijua?Tatizo ni kuwa ukiwa huna hela unajulikana tu huna kitu pengine nyie hata hiyo buku 10 ya kiingilio mlianza kuomba mpunguziwe.
Sasa wahuni wakaamua wawafukuze muende nyumbani mkalale hivyo hivyo hata kama hamna usingizi
Ndiyo we si ni mpwayungu?Mkuu unanijua?
Kuwa na standars ni wazo Zuri ila kumaintain standards ni jambo jingine na sio rahisi sana.Daah umenikumbusha Mbali Bambalaga eti ukienda wanaangalia Muonekano wako...Umenyoa kiduku huingii... Juzi kati nmeenda hamna kitu ni kama imekufa
Mm pale element hata bunduki sikanyagi,Yaani pesa yangu.....wanisumbue hawataniona tenaa viwanja kibaoooooo
Kwahiyo walichukua pesa yako ya kiingilio na wakakutoa nduki bila kukurudishia hela yako?😂😂Basi tungerudishiwa pesa zetu za kiingirio. Umewahi kwenda pale? Siku moja alienda pale Harmonize akitaka kwenda chooni wote tunasubiri mpaka wasafishe aende yeye akimaliza ndotunaruhusiwa. Huenda boss hajui haya Ila wafanyakazi wake watamuangushia biashara
Hawajui kuwa watanzania wengi wanakipato cha kawaida, wakiwa masaki wanajiona sana.. Akina MO dewji na bakhresa kutengeneza bidhaa za Mia na jero sio wapumbavu wameangalia population demandKuwa na standars ni wazo Zuri ila kumaintain standards ni jambo jingine na sio rahisi sana.
Kuleta tabia mpya katika jamii inahitaji muda na sio jambo rahisi sana.
Ni wapi huko kuna hiyo huduma ?Iv machimbo yalivyo mengi iv bado mtu unakomaa sehemu isiyokuwa na customer care nzuri nawakati kuna machimbo ukitaka kwenda toilet unapewa na muhuduma akusindikize mtoto mkali
Hawana makosa yeyote kosa ni la kwako umeenda Sehemu siyo level yako. Kuna kipindi nilikuwa naona nanyanyasoka kwenda baa. Nilivyoanza kunywa kwenye liquor store nikajua level yangu. Nashukuru Mungu leo hii nina uwezo wa kunywa club kubwa. Nenda kwenye level zako.Biashara huwa Kuna kupanda na kushuka, club element wasipofanya mapema reform ya wafanyakazi basi Ile club haishuki inaenda kudondoka na kufa kabisa
Nimeamua niandikie leo japo ni tukio lililonitokea mwezi Jana. Sio mara yao ya kwanza kunitreat unfairly imekuwa ni tabia yao.. Tulienda pale na rafiki angu saa tano usiku tukalipa buku ten ya kiingirio tukaenda moja kwa moja kukaa meza moja ilikuwa empty
Muhudumu akaja akasema hii meza reserved, tukamwambia tuonyeshe pa kukaa, akaja baunsa kututoa kwa nguvu mpaka nje, kuulizia nn shida wakasema sisi wasumbufu. Tukasema watusamehe hatukujua but walikataa
Ivi kuulizia tu tukae wapi tayari ni kosa? Yani wana viburi, huduma mbovu wanathamini mastaa na matajiri tu mana hata ukienda na Gari ya IST au Vitz hupew parking, walahi yule mmasai hakupi pa kupaki. Ila wakiona LC 300 hapo wanakupokea na magoti
Mbaya zaidi ukionekana umeenda na bodaboda au bajaji umekwisha, hatihati wasikuruhusu. Lile baunsa lenye upara why lisitoleweee mbona jeuri saana afu Lina miaka mingi kweli pale sijui wanalibembeleza la nini
View attachment 3067133
Kwangu haikuwa na effect pesa ndogo sana hata supu ya kutoa hangover haitoshiKwahiyo walichukua pesa yako ya kiingilio na wakakutoa nduki bila kukurudishia hela yako?😂😂
Una maanisha nini? Kwamba wanakukagua salio lako ili kujua una kiasi gn? Au wana financial data ya Kila mteja?Hawana makosa yeyote kosa ni la kwako umeenda Sehemu siyo level yako. Kuna kipindi nilikuwa naona nanyanyasoka kwenda baa. Nilivyoanza kunywa kwenye liquor store nikajua level yangu. Nashukuru Mungu leo hii nina uwezo wa kunywa club kubwa. Nenda kwenye level zako.
Au mkuu ulienda na shati la kitenge? Maana walimu mnapenda sana mashati ya vitengeHuna akili! Hatukukataa Hilo na kibao cha reserved hatukukiona tungeona tusingekaa. Hata hivyo halikuwa kosa kuwaomba watuonyeshe kwa kukaa.. Wahindi na waarabu watazidi kutupiga gap kwenye biashara
WeweNani mwalimu?
Kuwa na nidhamu! Usinichukulie poa hakuna kiwanja nitashindwa kwenda. Kama tulikuwa tunaingia club bilicanas natunakula na kunywa mpaka siku ya pili itakuwa element?Ndiyo we si ni mpwayungu?
Umechanganyikiwa wwWewe
Nakutania mkuuKuwa na nidhamu! Usinichukulie poa hakuna kiwanja nitashindwa kwenda. Kama tulikuwa tunaingia club bilicanas natunakula na kunywa mpaka siku ya pili itakuwa element?
Hata Hakkanas Las Vegas sishindwi
Hamna ndugu yangu mimi nimeenda Sehemu nyingi. Nakupa mfano mdogo Nairobi kuna Strip Clubs za level tofauti tofauti. Kuna ambazo unaingia kama elements na kuna ambazo kuingia inabidi uwe na 29 years na inabidi uonyeshe passport hata kama mkenya. Niliuliza nikaambiwa ni mbinu ya kujua level ya uchumi ya mteja. Wakikagua passport wanajua huyu mteja wa level yetu. Nilikutana na watu walionifundisha mengi. Ndugu yangu yaliyotokea element chukulia kama fundisho, kwamba inabidi upunguze starehe na uongeze utafutaji.Una maanisha nini? Kwamba wanakukagua salio lako ili kujua una kiasi gn? Au wana financial data ya Kila mteja?
Kwahiyo huyu ndo mpwayungu hawezi jua hata reservedBiashara huwa Kuna kupanda na kushuka, club element wasipofanya mapema reform ya wafanyakazi basi Ile club haishuki inaenda kudondoka na kufa kabisa
Nimeamua niandikie leo japo ni tukio lililonitokea mwezi Jana. Sio mara yao ya kwanza kunitreat unfairly imekuwa ni tabia yao.. Tulienda pale na rafiki angu saa tano usiku tukalipa buku ten ya kiingirio tukaenda moja kwa moja kukaa meza moja ilikuwa empty
Muhudumu akaja akasema hii meza reserved, tukamwambia tuonyeshe pa kukaa, akaja baunsa kututoa kwa nguvu mpaka nje, kuulizia nn shida wakasema sisi wasumbufu. Tukasema watusamehe hatukujua but walikataa
Ivi kuulizia tu tukae wapi tayari ni kosa? Yani wana viburi, huduma mbovu wanathamini mastaa na matajiri tu mana hata ukienda na Gari ya IST au Vitz hupew parking, walahi yule mmasai hakupi pa kupaki. Ila wakiona LC 300 hapo wanakupokea na magoti
Mbaya zaidi ukionekana umeenda na bodaboda au bajaji umekwisha, hatihati wasikuruhusu. Lile baunsa lenye upara why lisitoleweee mbona jeuri saana afu Lina miaka mingi kweli pale sijui wanalibembeleza la nini
View attachment 3067133