Wafanyakazi wako wanakuibia? Jaribu mbinu niliyotumia wangu wakaacha

Wewe una akili nyingi ujue!!!
Hujajipata tu kisawasawa ungeongoza duniani!!
😁😁😁 bichwa limenivimba hapa mkuu halafu kuna mtu nilikua naongea nae ishu fulani muda sio mrefu akanambia ningekua mwanaume ningekua namiliki ndege sasa hivi 😁😁.

Anywayz,tuzidi kuombeana mkuuπŸ™πŸ™
 
Hao wafanyakazi wako ni VILAZA tu yaan mtu na akili zangu niamini huo upuuzi mliokuwa mnaongea na shoga yako?[emoji23][emoji23]...ungetumia mbinu nyingne sio hyo aisee ni swala la mda tu watakuibia...ungesema unafanya biashara ya aina gani tukushauri jf wasiweze kukuibia tena
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sawa mkuu.

Sijui kwanini ngozi nyeusi hatuoni aibu kuwa vijizi jizi.
Pia kwenye kuajiri msiwe mnaangalia kigezo kimoja tu cha taaluma.

Emotional intelligent ni muhimu pia, mtu mwenye EI kubwa ni vigumu kidogo kukuibia kwani atakuwa anatake ownership kwenye hiyo kazi, ataichukulia kama yake ili mradi nawe unamtendea kama binadamu.

Wenzetu huwa hawaangalii vyeti vya taaluma tu.
 
Wewe jidanganye tuu, mwizi ni mwizi tuu wizi ni roho chafu, ikishamwingia mtu hata useme una mloga atakuibia tuuu, mbona wezi wanachomwa mpaka moto asipokufa anarudi Tena kuiba, mpaka siku atakayouwawa ndo mwisho wa wizi wake.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜
Ni upuuzi kweli mkuu ila umenifaa so far.
Hapa najipanga tu niwe na standby generator kote sababu wanaiba wakati hamna umeme
 
Nimechukua point mkuu.
AsanteπŸ™
 
Katika eneo lolote lile la kazi 50% hao tayari sio watumishi waaminufu.

25 % wana uaminifu kulingana na sheria na taratibu za ajira.

25% ndio waaminufu.

Kwahiyo muajiri anapaswa kupambana na asilimia 75 ya watumishi wake kulinda pato.
 
Wewe jidanganye tuu, mwizi ni mwizi tuu wizi ni roho chafu, ikishamwingia mtu hata useme una mloga atakuibia tuuu, mbona wezi wanachomwa mpaka moto asipokufa anarudi Tena kuiba, mpaka siku atakayouwawa ndo mwisho wa wizi wake.
Ni kweli mkuu ila kwa hawa kwa sasa wametulia.
Hata hivyo najipanga niwe na umeme muda wote coz wanaiba umeme ukikatika
 
Katika eneo lolote lile la kazi 50% hao tayari sio watumishi waaminufu.

25 % wana uaminifu kulingana na sheria na taratibu za ajira.

25% ndio waaminufu.

Kwahiyo muajiri anapaswa kupambana na asilimia 75 ya watumishi wake kulinda pato.
Inaumiza sana mkuu .
 
Mindset games
 
Duuh Kali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…