Wafanyakazi wako wanakuibia? Jaribu mbinu niliyotumia wangu wakaacha

Kwa kweli tunacholipa sisi sio kikubwa cha kujivunia ila pia sio kidogo kiasi hicho ulichotaja mkuu
 
Ahaa kumbe yule shoga yako ni muongo siyo!

Mshahara unalipa kiduchu halafu tukichukua hela za kula unasema tunaakuibia?

Mikazi yote ile kweli boss huna huruma na sisi!
😃😃🤣🤣
Jichanganye shauri yako sio uongo we iba uone utakavyokua msukule wangu🤣🤣
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji16]
Ni upuuzi kweli mkuu ila umenifaa so far.
Hapa najipanga tu niwe na standby generator kote sababu wanaiba wakati hamna umeme
Hufanyi stocktaking, maana yake vitu wanavyo kuibia ni tangible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…