TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

Mungu amekataa watu kubambikwa kesi. Wapumzike Mahala wanapostahili
 
On a serious note, tunahitaji sheria kali dhidi ya magari mabovu barabarani. Hatuwezi kugeuza barabara kuwa garage, watu wengi sana wamekufa kwa sababu ya magari yaliyoharibika barabarani.
Unadhani hata kama kuna gari linatengenezwa kama hawapo spidi wanapata ajali? Ishu ni mwendokasi na kutawala barabara kwa hawa watu wa serikalini
 
Kwa ajali hii sidhani kaka vichwa viko kwenye utaratibu wake lazima wamepasuka sana..
 
Mi sio trafiki, ila hawa jamaa wanaonekana walikua wana overtake wakakutana face to face.. maana wapo upande wa kulia.. yaan ugonge gari kwa nyuma uchakae hivo?
Inaweza kuwa kweli walivyo overtake wakakutana sura na ngom nyingine Ila wakaMua kwenda kulia Zaid wakwepe wakakutana na matako ya fuso lilipAki wakazama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…