mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Magufuli hakuwa mwanasiasa hata chembe. Alilewa madaraka mapema sana.
Wewe tena na hivi alikuwa mkristo[emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli hakuwa mwanasiasa hata chembe. Alilewa madaraka mapema sana.
Kwa ulivyoandika wewe ndiye unajibainisha kuwa ulikuwa na chuki na hayati JPM.Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa...
... vyeti feki? Sikuungaunga wewe sahau hilo. Mimi sio wa sub-combi wewe kuwa na akili.Ukiwa na vyeti feki lazima utumbuliwe.
Hakuna chuki, ni kufuata utaratibu.
Pole kwa KUTUMBULIWA ewe JIZI LA VYETI [emoji2][emoji2][emoji2]
JIZI LA VYETI wewe huna lolote [emoji2][emoji2]... vyeti feki? Sikuungaunga wewe sahau hilo. Mimi sio wa sub-combi wewe kuwa na akili.
... "theisis" ya jamaa iko wapi? Inatakiwa itumike kama rejea kwenye maandiko ya kisomi but that "public" document is nowhere to be seen. Lile ndio lilikuwa jizi #1 la elimu.JIZI LA VYETI wewe huna lolote [emoji2][emoji2]
Unajificha ficha tu hapa [emoji2]
Sawa mkuuUkitaka asaulike vyunja daraja la kijazi,stand zote iringa,sumbawanga,singida,Dodoma,mwanza,njombe, masoko mikoa yote, hospital zote za wilayaa,machinjio ya ng'ombe,barabara zote,umeme mpaka vijijini,kidume kilivyosimamia bwawa LA Nyerere wakati wakina zito ,mbowe waliufyata Kwa wazungu kidume kikalianzisha,sgr,Dara la tanzanitr,dalaja la musisi , elimu bule nk app tutamsaau
Huenda atafufuka baada ya miaka mitatuNi miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa...
Magufuli ndio alikuwa anauza huo mchele? Acha uzwazwa rudi darasani ujue sababu ya vitu kupanda bei. Eti kanda ya ziwa huoni hata aibu? Unarudia siasa aa kibaguzi km zile za huo marehemu wakoWewe ni miongoni mwa wale wasiokuwa na hekima au kichwanj wewe ni kichaa. Kauli zenu hizi zinamletea mazingira magumu sana kisiasa Rais Dr Samia....
KALIME ACHA JANJA JANJA ZA VYETI FEKI.... "theisis" ya jamaa iko wapi? Inatakiwa itumike kama rejea kwenye maandiko ya kisomi but that "public" document is nowhere to be seen. Lile ndio lilikuwa jizi #1 la elimu.
... mama anawawezesha graduates kujiajiri kwenye kilimo na matokeo yataonekana soon! Shughuli hiyo adhimu imefanyika 17.03.2023 na sio kwenda kutembelea makaburi kama mlivyokuwa mnalilia.KALIME ACHA JANJA JANJA ZA VYETI FEKI.
Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na milele hataweza kurejea tena huku siasa zake mbovu taratibu zikizikwa na rais Samia Suluhu...
Mleta mada fanya kazi kwa nguvu zako acha uchawa. Yaani unataka kutuambia kwamba ata kama Samia ni dhaifu kwa baadhi ya Mambo anashindwa kukontrol huo udhaifu wake na akashindwa kutambua ata hiyo nafasi aliyonayo aliipata tu kwa Mgongo wa JPM.Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na milele hataweza kurejea tena huku siasa zake mbovu taratibu zikizikwa na rais Samia Suluhu...
Jpm kesha kufa mkuuu ila Kivuli chake kinaishi kwetu kwa Amani na upendo hasasa sisi wazalendo na kinawachoma Mafisadi na akina vyeti fake.Mnaotaka kumuua Magufuli hamtafanikiwa.
Naam sheikhe. Genge S mtakufa kwa chuki zenu dhidi ya Samia na maridhiano na Mbowe na wengine. Ungeni mkono juhudi za maridhiano la sivyo mtapotea kabisa.Wafuasi hao wa Magufuli hawafurahishwi na hatua yoyote ya maendeleo (kisiasa, kiuchumi, kijamii) inayopigwa na mama Samia ambayo Magufuli hakuifikia au hatua yoyote ya kufutwa kwa baadhi yq siasa za Magufuli zisizokuwa na maana kwa watanzania. Wao wanataka kuona Magufuli akisifiwa katikati ya utawala wa Samia (wakati Magufuli alikuwa kinara wa kubeza serikali zote za Tanzania zilizomtangulia) au kuona utawala wa Samia ukianguka kwa namna yoyote.