Wafuasi wa Hayati Magufuli bado hawajaamini kikamilifu kuwa alishafariki na siasa zake nyingi zinazikwa na Rais Samia

Wafuasi wa Hayati Magufuli bado hawajaamini kikamilifu kuwa alishafariki na siasa zake nyingi zinazikwa na Rais Samia

Kwani KIKWETE NDO NANI? SI JIZI TU LILE?

TENA HILO LIJIZI KIKWETE LINATAKIWA KUTUKANWA NA KUFOKEWA KWELI KWELI, NI VILE TU MAGUFULI ALIKUWA NA BUSARA KIASI.

Kwa "Happy" Kikwete ndiye aliyempa "maisha" hakupaswa kumsema vibaya namna ile.
 
Ukitaka asaulike vyunja daraja la kijazi, stand zote iringa,sumbawanga, Singida, Dodoma, Mwanza, Njombe, masoko mikoa yote, hospital zote za wilayaa, machinjio ya ng'ombe, barabara zote, umeme mpaka vijijini, kidume kilivyosimamia Bwawa la Nyerere wakati wakina zito ,mbowe waliufyata Kwa wazungu kidume kikalianzisha, SGR, Daraja la Tanzanite, Daraja la Musisi , elimu bure nk app tutamsaau
Kidume pia kikashindwa kuwakakamata "wasiojulikana", watu wakapotea na wakosoaji kukimbia nchi. Mwamba akasigina katiba,

Uchaguzi ukawa wa hovyo, bunge la Ndugai likawa sehemu ya serikali, aidha kuwa chama pinzani likawa kosa kwa raia.

Kwa kifupi, kama sio woga, unafiki, ujinga wa Watanzania alikuwa atuingize kwenye machafuko! Binafsi namsamehe yoteee ila la Watanzania kutekwa, kupotea, watu kukimbia nchi yao hapana!
 
Ukitaka asaulike vyunja daraja la kijazi, stand zote iringa,sumbawanga, Singida, Dodoma, Mwanza, Njombe, masoko mikoa yote, hospital zote za wilayaa, machinjio ya ng'ombe, barabara zote, umeme mpaka vijijini, kidume kilivyosimamia Bwawa la Nyerere wakati wakina zito ,mbowe waliufyata Kwa wazungu kidume kikalianzisha, SGR, Daraja la Tanzanite, Daraja la Musisi , elimu bure nk app tutamsaau
Umesahau na majengo mapya ya mahakama kila wilaya
 
... yule mtu alikuwa na chuki kupitiliza; sijui alikuwa na matatizo gani. Anaweza kuvunja rekodi kama mtanzania mwenye chuki zaidi kuwahi kutokea.
Hahahaha.......😀😅
 
Naam sheikhe. Genge S mtakufa kwa chuki zenu dhidi ya Samia na maridhiano na Mbowe na wengine. Ungeni mkono juhudi za maridhiano la sivyo mtapotea kabisa.
Hivi mnakua maana ya maridhiano?
Mama ni muoga aliona atumie hiyo njoa kuwalambisha CHADEMA asali ili msimchalenji. Todayti na hapo angekuwa na haki ngumu sana.

Miaka miwili iliyopita mwezi kama huu taifa lilipata hasara kubwa sana.

Mvaya zaidi wapinzani ndio hao hatuna mbadala.

CDF ulikosea sana watanzabia ungeacha watu wapindue meza tu.
 
Rais Samia kura za kanda ya ziwa mpaka sasa hana kabisa na asikudanganye mtu.
Unaijua CCM wewe? Nakwambia hivi kma tume ni hii hii usishangae kusikia Samia ana 90% ya kura za Kanda ya ziwa hata kma hatopiga kampeni. Sukuma gang mna kazi hiyo 2025 either muanzishe chama au mfutike kwenye siasa maana hiyo 2025 vyama ni viwili tu hizo kelele cjui JPM sijui Kanda ya ziwa hazina factor ya kucheza.
 
Hivi mnakua maana ya maridhiano?
Mama ni muoga aliona atumie hiyo njoa kuwalambisha CHADEMA asali ili msimchalenji. Todayti na hapo angekuwa na haki ngumu sana.

Miaka miwili iliyopita mwezi kama huu taifa lilipata hasara kubwa sana.

Mvaya zaidi wapinzani ndio hao hatuna mbadala.

CDF ulikosea sana watanzabia ungeacha watu wapindue meza tu.
Mpaka sasa CDM ndio washindi wa siasa za maridhiano kwa manufaa ya Umma wa watanzania.
 
Back
Top Bottom