King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kwani KIKWETE NDO NANI? SI JIZI TU LILE?
TENA HILO LIJIZI KIKWETE LINATAKIWA KUTUKANWA NA KUFOKEWA KWELI KWELI, NI VILE TU MAGUFULI ALIKUWA NA BUSARA KIASI.
Kidume pia kikashindwa kuwakakamata "wasiojulikana", watu wakapotea na wakosoaji kukimbia nchi. Mwamba akasigina katiba,Ukitaka asaulike vyunja daraja la kijazi, stand zote iringa,sumbawanga, Singida, Dodoma, Mwanza, Njombe, masoko mikoa yote, hospital zote za wilayaa, machinjio ya ng'ombe, barabara zote, umeme mpaka vijijini, kidume kilivyosimamia Bwawa la Nyerere wakati wakina zito ,mbowe waliufyata Kwa wazungu kidume kikalianzisha, SGR, Daraja la Tanzanite, Daraja la Musisi , elimu bure nk app tutamsaau
Shughulikieni mafisadi we ajuzaMagufuli hakuwa mwanasiasa hata chembe. Alilewa madaraka mapema sana.
Umesahau na majengo mapya ya mahakama kila wilayaUkitaka asaulike vyunja daraja la kijazi, stand zote iringa,sumbawanga, Singida, Dodoma, Mwanza, Njombe, masoko mikoa yote, hospital zote za wilayaa, machinjio ya ng'ombe, barabara zote, umeme mpaka vijijini, kidume kilivyosimamia Bwawa la Nyerere wakati wakina zito ,mbowe waliufyata Kwa wazungu kidume kikalianzisha, SGR, Daraja la Tanzanite, Daraja la Musisi , elimu bure nk app tutamsaau
Huo ulikuwa mkakati wa CHADEMAR.I.P Ben Saanane na Azory Gwanda
Hahahaha.......😀😅... yule mtu alikuwa na chuki kupitiliza; sijui alikuwa na matatizo gani. Anaweza kuvunja rekodi kama mtanzania mwenye chuki zaidi kuwahi kutokea.
Hivi mnakua maana ya maridhiano?Naam sheikhe. Genge S mtakufa kwa chuki zenu dhidi ya Samia na maridhiano na Mbowe na wengine. Ungeni mkono juhudi za maridhiano la sivyo mtapotea kabisa.
Unaijua CCM wewe? Nakwambia hivi kma tume ni hii hii usishangae kusikia Samia ana 90% ya kura za Kanda ya ziwa hata kma hatopiga kampeni. Sukuma gang mna kazi hiyo 2025 either muanzishe chama au mfutike kwenye siasa maana hiyo 2025 vyama ni viwili tu hizo kelele cjui JPM sijui Kanda ya ziwa hazina factor ya kucheza.Rais Samia kura za kanda ya ziwa mpaka sasa hana kabisa na asikudanganye mtu.
Duh.......Magufuli hakuwa mwanasiasa hata chembe. Alilewa madaraka mapema sana.
Alikosea sana Kwa hiloHuyu jamaa alikengeuka akaanza kumtukana hadi kikwete wakati kikwete ndiyo aliyempa mashavu.
hui ID inasemekana ni Samia mwenyewe kuwa mpoleDuh.......
Hata wewe mwanaccm, kindakindaki, unadiriki kumponda Magufuli?😎
Mpaka sasa CDM ndio washindi wa siasa za maridhiano kwa manufaa ya Umma wa watanzania.Hivi mnakua maana ya maridhiano?
Mama ni muoga aliona atumie hiyo njoa kuwalambisha CHADEMA asali ili msimchalenji. Todayti na hapo angekuwa na haki ngumu sana.
Miaka miwili iliyopita mwezi kama huu taifa lilipata hasara kubwa sana.
Mvaya zaidi wapinzani ndio hao hatuna mbadala.
CDF ulikosea sana watanzabia ungeacha watu wapindue meza tu.
Manufaa yapi; tuanzie hapoMpaka sasa CDM ndio washindi wa siasa za maridhiano kwa manufaa ya Umma wa watanzania.
Magufuli aliondoka na ccm yake feki. Orijino imebaki inadunda.Duh.......
Hata wewe mwanaccm, kindakindaki, unadiriki kumponda Magufuli?😎
Sabaya yuko wapi?Shughulikieni mafisadi we ajuza
Mnamwona mama anajitahidi kuwa democratic, hiyo ni kazi ya maridhiano chini ya CDM.Manufaa yapi; tuanzie hapo
Watu hawali demokrasiaMnamwona mama anajitahidi kuwa democratic, hiyo ni kazi ya maridhiano chini ya CDM.
Sabaya ni fisadi au mlitaka TU kumkomoa Ili mpate milage ya kisiasa mbaya zaidi wale mliotaka kuwa impress wakawatukana mkawabumbia kesi ya ugaid; ila Faiza mbona tukisrma hii ID ya mama husemi kitu?Sabaya yuko wapi?