Wafuasi wa Hayati Magufuli bado hawajaamini kikamilifu kuwa alishafariki na siasa zake nyingi zinazikwa na Rais Samia

Wewe ni miongoni mwa wale wasiokuwa na hekima au kichwanj wewe ni kichaa. Kauli zenu hizi zinamletea mazingira magumu sana kisiasa Rais Dr Samia. Kwa ufupi Rais Samia kura za kanda ya ziwa mpaka sasa hana kabisa na asikudanganye mtu.
Aliyekuambia Ccm wanategemea kura ili kupata ushindi ni nani ?
 
Na huo unaita ujanja ?

Kweli tatizo ni mentality ya wengi na wala sio watawala, Yaani unaona watu ku-lack principles na kuwa machawa na flip-flopers ndio ujanja...

Hivi kichwani mwako unadhani faida ya siasa ni nini na ni kwa nani katika jamii ? Au umeshakubaliana na kinachoendelea kwamba ni platform ya kupata kura ili uweze kula ? Na kama ndivyo na wewe sio mlaji kwanini ushiriki katika kuwapa watu ulaji
 
Hao watu wanaamini kuwa japokuwa Magufuli kimwili alishakufa lakini kiroho bado anaishi katikati yetu, hivyo anaweza kuendelea kuathiri maisha yetu
Hii ni kweli kila wapendwa wetu wakitangulia mbele ya haki tunakuwa ni hatuko nao kimwili tuu lakini kiroho tunakuwa tuko nao hivyo hata Magufuli ni kweli ametangulia ila kwa wale wanaomkubali bado yuko mioyoni mwao, na ndio maana nikashauri Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?
au ipo siku utawala na siasa zake zitafufuliwa upya na kuendelea kuongoza Tanzania!
No hatuamini siasa zake zote lakini zile siasa zake nzuri na mazuri yake lazima yaenziwe na Samia ayaendeleze. Mambo kama haya
Wafuasi hao wa Magufuli hawafurahishwi na hatua yoyote ya maendeleo (kisiasa, kiuchumi, kijamii) inayopigwa na mama Samia ambayo Magufuli hakuifikia au hatua yoyote ya kufutwa kwa baadhi yq siasa za Magufuli zisizokuwa na maana kwa watanzania.
Sii kweli. Tuko akina sisi tulimkubali sana Magufuli na sasa tunamkubali sana Samia
Wao wanataka kuona Magufuli akisifiwa katikati ya utawala wa Samia (wakati Magufuli alikuwa kinara wa kubeza serikali zote za Tanzania zilizomtangulia) au kuona utawala wa Samia ukianguka kwa namna yoyote.
Hapana hatutaki Magufuli asifiwe, tusichotaka ni Magufuli asibezwe!. Tunaweza kumsifia Samia kwa mazuri yote anayoyafanya bila ya kumpondea Magufuli.
P
 
Haya ni maelezo tu kama UDAKU kama ule kila ghorofa au petrol stations ni vya RIZWAN ili ku justify kile unachisema attach USHAHIDI...

Hayo yote uliyosema ambatanisha na ushahidi itakuwa bora zaidi
 
Kama MWENYEZIMUNGU alimundoa yule Lucifer hawezi shindwa kwa nyie shetani ndogondogo
Naona umji shetani maana nyie mnaafanana Mai la kulwa na doto ,inawezaje kuwa na vyeti feki wakati Kunatoto kakomaa nakuni ,shule ,mlo mmoja shule mpaka chuo apati kazi ,ala shetani ww umetengeneza cheti feki sababu mjomba ana cheo kakipa kazi mashetani nyiye
 
Mbona kama wewe ndio bado hujaamini?

Huyu mtu alitungisha mimba nyingi sana hapa nchini!

Inafika hatua maiti ina nguvu kuliko walio hai! Haijawahi kutokea.
USSR bhana una id kibao za kulinda legacy feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…