Waganga wa jadi 10 wapelekwa Kigoma kupambana na Wachawi, DC aweka ngumu

Naona DC yupo upande wa wachawi,wanapata vyeo toka kwa wachawi japo wanapinga uchawi
 
Ulaya hawafanyi uchawi wa kuzuia maendeleo huu wa black magic sijui kulogana kisa mtu anakula nyama,wao wanafanya zaidi white magic uchawi wa miujiza
 
Hio ni vita ya kiroho kati ya wachawi na waganga Serikali inaingiliaje hapo.
Wacha wapigane kiroho mshindi apatikane
 
Mchawi ni mtu mpumbavu sana inatakiwa auliwe popote alipo maana anafanya kazi isiyo na faida kwake au kwa jamii.
Check mchawi analoga mazao shambani kesho yeye ndie atakaethirika kwa kununua mazao kwa Bei kubwa dukani
 
Hatari sana, ukiwaambia chama dola kongwe ni kero hawawezi kujitokeza kwa wingi na jazba hii

Nashangaa Mkristo au Muislamu kuogopa wachawi ujui nguvu uliyonayo
 
Mtafute Musa chesa atakueleza kuhusu ili au tafuta police wale wanaopambana na majambazi atakupa ukwel kuhusu hili
 
Uchawi upo ndugu ndio maana hata jeshini wanafundishwa dark arts. Hata askari waliokua wanapambana na majambazi ya Kahama na Kibondo walikua wanatumia dark arts Ili kuwamaliza bila hivyo hata ungerusha risasi ngapi humuuwi.
Hawaelewi hili,hakuna jambazi,mwizi au kibaka asiye mchawi.
Wao na waganga ni chai na kikombe
 
Hii bullets proof ya kiasili nayo Ina namna yake ya kuizimua.
Mganga huyo huyo wa kaka jambazi ndie mganga huyo huyo wa police.
Ukiona mwili aungii risasi piga kivuli chake.Hizi dark art Huwa hazina bingwa
 
Uchawi upo ndugu ndio maana hata jeshini wanafundishwa dark arts. Hata askari waliokua wanapambana na majambazi ya Kahama na Kibondo walikua wanatumia dark arts Ili kuwamaliza bila hivyo hata ungerusha risasi ngapi humuuwi.
Sio jeshini tu hata kwenye vyuo vya ujasusi wanafundishwa white magic.
Ninja ni kitu halisi Sio fiction.
Kuna kushambulia na kupotea, kuingia mahali kuchukua taarifa bila kuonekana,unadhani ni rahisi tu kuwakamata VIONGOZ wakuu wa makundi ya kigaidi bila white magic.
Wanatumia both white magic wanachanganya na operation za kisayansi.
 
mwisho wa siku DC ataamishwa muda si punde
 
Hii bullets proof ya kiasili nayo Ina namna yake ya kuizimua.
Mganga huyo huyo wa kaka jambazi ndie mganga huyo huyo wa police.
Ukiona mwili aungii risasi piga kivuli chake.Hizi dark art Huwa hazina bingwa
uko right kabisa wasiojua watabisha
 
Sjasoma sana ila najua uchawi upo kipindi npo skuli nlishawah kwenda kumroga mwalimu kwa buku jero
Na aliumwa kweli mguu
 
Mayunga unajua😆😆😆
 
Halafu siku vidono vikiamka, mpaka utafute mtu mtwangane au upige ngumi ukutani Hadi vitulieee, vidono bwanaaa. Haaaaaaaa haaaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…