Waganga wa jadi 10 wapelekwa Kigoma kupambana na Wachawi, DC aweka ngumu

Uchawi utapungua polepole ukianzia na mikoa iliyoendelea na mwisho mikoa iliyo nyuma. Uchawi hautakwisha kabisa ila utapungua.

Kigoma inasifika kwa jambo hilo.
Uchawi, ushirikiana na ugqnga wa kinyeji ni jadi Yao, hawawezi kuacha.

Kigoma my home place, nini tena huko?

Munaendekeza UCHAWI Sana, nipo hapa Mwanga Center uchaw tupu

Si wamuiite mwamposa

Mchawi mpaka umkosee hivi hivi uchawi haufanyi kazi

 
Halafu hao jamaa huwa wanalalamika kwa nini maendeleo yanachelewa kuwafikia..

Waamue moja.
 
Mwenye Enzi Mungu tunaomba hekima na busara zako zishuke kwa wana nchi wa Tanzania [emoji1241] yetu uwiiiii[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Yaani mganga akapambane na mchawi?😳🤔
Sifa ya kwanza ya mganga lazima awe mchawi, sa hapo wanakuwa wamemfanya nn?
 
Jamaa na Kigoma yake ya Jeshi la wachawi alafu wanachangishwa malipo.Pumbafffff kabisa.
 

Endometriosis au ovarian fibroids inaweza sababisha irregularities za hedhi. Tumbo kuvimba ni maradhi ambayo yapo na yanatibika. Nyie watu ni wapu.mbavu kiasi gani hadi mnaamini magonjwa yanayotambulika kisayansi na kutibika ni ushirikina? Ipo siku mtasema malaria na kipindupindu ni ushirikina.

Umaskini na ujinga bado ni janga la taifa.
 

Wewe hiyo fimbo ya musa uliiona au nayo ni hearsay kama story zote za ushirikina zilivyo?
Mtu kugeuka mamba hearsay.
Watu kupaa na ungo hearsay.
Mama kujifungua jiwe hearsay.
Wachawi kupenya ukutani hearsay.
Fimbo ya musa hearsay.

Inabidi uwe zwazwa grade A1 kuamini hizi story za kusadikika.
 
Hizi Ni picha halisi na sio edit... Sasa wewe peleka matako yako kwa hao mamba uone wanavyokutawanya mavi
 

Attachments

  • IMG-20221109-WA0039.jpg
    14.5 KB · Views: 7
  • IMG-20221109-WA0040.jpg
    15.9 KB · Views: 7
  • IMG-20221109-WA0038.jpg
    22.7 KB · Views: 7
Hizi Ni picha halisi na sio edit... Sasa wewe peleka matako yako kwa hao mamba uone wanavyokutawanya mavi

Watu wanacheza na cobra, Simba, bear wanyama wa Kila aina nini ajabu kucheza na mamba? Google Dean Schneider ujionee akicheza na wanyama wa Kila aina mbugani. Wewe kwako huu ndo uthibitisho wa ushirikina? Hapo Kuna mtu kageuka kuwa mamba? Huko shuleni mlisomea ujinga?

Ujinga na umaskini bado ni janga la taifa.
 
Hivi vitu vipo mdogo wangu...kitu ambacho hukijui au hukiamini haina maana hakipo. Unakuta ni upeo wako tu (ujinga) ndo unakusababisha ubishe.

Sitaki kuamini Mimi sio zwazwa. Nataka uthibitisho.
 
Nashangaa waganga kupelekwa Kigoma wakati kule ndio kwenyewe kwa uganga.
 
Wewe bado mtoto na bado unalelewa na umekulia ndani kama kuku wa kisasa huna lolote unalo lijua katika kichwa chako zaidi ya theories za kukalili darasani ndio maana huwezi bishana na watu wazima walio ona mengi
 
Wewe bado mtoto na bado unalelewa na umekulia ndani kama kuku wa kisasa huna lolote unalo lijua katika kichwa chako zaidi ya theories za kukalili darasani ndio maana huwezi bishana na watu wazima walio ona mengi

Sasa nani aliyekariri Mimi au nyie mnaoamini binadamu anageuka mamba sijui fimbo ya musa imemeza nyoka? Hata mambo madogo hivi mnashindwa kung'amua. Tumia kichwa kufikiri sio kufugia nywele tu na kujaza story za abunuasi 🤣🤣🤣

Bado mnarukaruka tu kama maharage badala ya kutoa uthibitisho wa story zenu za hearsay. Uzwazwa ni janga la taifa.
 
Wewe bado mtoto na bado unalelewa na umekulia ndani kama kuku wa kisasa huna lolote unalo lijua katika kichwa chako zaidi ya theories za kukalili darasani ndio maana huwezi bishana na watu wazima walio ona mengi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

Hawa watoto ndio maana wanakuwa machoko kihasara hasara wanajikuta wanaliwa viboga!

Anajitia ubishi mwenyewe, amekariri vitini vya CIVICS humwambii kitu [emoji851]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…