Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
Si wamuiite Mwamposa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchawi mpaka umkosee hivi hivi uchawi haufanyi kaziMunaendekeza UCHAWI Sana, nipo hapa Mwanga Center uchaw tupu
KumbeMchawi mpaka umkosee hivi hivi uchawi haufanyi kazi
Kigoma inasifika kwa jambo hilo.
Uchawi, ushirikiana na ugqnga wa kinyeji ni jadi Yao, hawawezi kuacha.
Kigoma my home place, nini tena huko?
Munaendekeza UCHAWI Sana, nipo hapa Mwanga Center uchaw tupu
Si wamuiite mwamposa
Mchawi mpaka umkosee hivi hivi uchawi haufanyi kazi
Kumbe
Kigoma my home place, nini tena huko?
Yaani mganga akapambane na mchawi?😳🤔
Wananchi wa Kijiji cha Sunuka, Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wameshirikiana na Serikali ya Kijiji kuchukua Waganga wa Jadi zaidi ya 10 kutoka Sumbawanga ili kukagua wachawi waliomo ndani ya kijiji chao wakidai ndicho chanzo cha utitiri wa vifo vya vijana katika mazingira ya kutatanisha.
Baadhi wa Wananchi walikusanyika na kuandama barabarani wakiimba “Tumechoka na uchawi” huku wakisapoti kile kinachofanywa na Viongozi wao.
Hata hivyo operesheni hiyo imepingwa vikali na Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Dinah Mathamani ambaye amezuiwa kuingia kijijini hapo ikiwa yupo kinyume cha mpango huo.
DC Dinah Mathamani amesema “Tumejadili na viongozi kuhusu suala hili, wale wanaojiita Waganda wanatakiwa kuondoka katika wilaya yetu, hatua kali zitachukuliwa dhidi yao na viongozi wanaoshirikiana nao.
Chanzo: UFM
Jamaa na Kigoma yake ya Jeshi la wachawi alafu wanachangishwa malipo.Pumbafffff kabisa.Hakuna uchawi wa kuzuia risasi. Hayo ni matokeo ya ujinga. Yalianza huko kwa Kinjekitile. Na si Kinjekitile tu, Wahindi wekundu walikuwaga nao na mganga aliyewadanganya kuwa ana dawa wakipigwa risasi na wazungu hazitawadhuru. Na zaidi ni kuwa jeshi hupingq vikali imani za kishirikina. Maana nirahisi sana kudemoralize jeshi linaloamini uchawi.
Unahisi huyo Dc kurogwa inashindikana kijana....kuna mambo ya kienyeji yapo sana na yanafanya Kazi.
Kuna trafki mmoja hapo KG alikuwa mtata alipigwa Ugonjwa na hedhi Mwaka mzima...unaambiwa sasa hivi kapoa.....kuna Hakimu alivimbishwa tumbo kama mimba mwishowe akafa.
Hatutakiwi kuamini ushirikina ila upo mzee,hapo Kigoma ni mambo yapo toka Kitambo.
Ndio naamini, kama fimbo ya musa iligeuka nyoka na ikameza nyoka wote wa waganga wafarao kwanini nisiamini kuwa mamba anaweza kugeuka kuwa mtu?
Uchawi ulisha kuwepo kabla hata ya ujio wa yesu ukisha lijua hilo basi huna hata haja ya kutilia shaka uwepo wa ushirikina katika ulimwengu wa leo
Hivi vitu vipo mdogo wangu...kitu ambacho hukijui au hukiamini haina maana hakipo. Unakuta ni upeo wako tu (ujinga) ndo unakusababisha ubishe.Inabidi uwe zwazwa pro max kuamini huu utopolo.
Hizi Ni picha halisi na sio edit... Sasa wewe peleka matako yako kwa hao mamba uone wanavyokutawanya maviWewe hiyo fimbo ya musa uliiona au nayo ni hearsay kama story zote za ushirikina zilivyo?
Mtu kugeuka mamba hearsay.
Watu kupaa na ungo hearsay.
Mama kujifungua jiwe hearsay.
Wachawi kupenya ukutani hearsay.
Fimbo ya musa hearsay.
Inabidi uwe zwazwa grade A1 kuamini hizi story za kusadikika.
Hizi Ni picha halisi na sio edit... Sasa wewe peleka matako yako kwa hao mamba uone wanavyokutawanya mavi
Hivi vitu vipo mdogo wangu...kitu ambacho hukijui au hukiamini haina maana hakipo. Unakuta ni upeo wako tu (ujinga) ndo unakusababisha ubishe.
Wananchi wa Kijiji cha Sunuka, Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wameshirikiana na Serikali ya Kijiji kuchukua Waganga wa Jadi zaidi ya 10 kutoka Sumbawanga ili kukagua wachawi waliomo ndani ya kijiji chao wakidai ndicho chanzo cha utitiri wa vifo vya vijana katika mazingira ya kutatanisha.
Baadhi wa Wananchi walikusanyika na kuandama barabarani wakiimba “Tumechoka na uchawi” huku wakisapoti kile kinachofanywa na Viongozi wao.
Hata hivyo operesheni hiyo imepingwa vikali na Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Dinah Mathamani ambaye amezuiwa kuingia kijijini hapo ikiwa yupo kinyume cha mpango huo.
DC Dinah Mathamani amesema “Tumejadili na viongozi kuhusu suala hili, wale wanaojiita Waganda wanatakiwa kuondoka katika wilaya yetu, hatua kali zitachukuliwa dhidi yao na viongozi wanaoshirikiana nao.
Chanzo: UFMha Wag
Wewe bado mtoto na bado unalelewa na umekulia ndani kama kuku wa kisasa huna lolote unalo lijua katika kichwa chako zaidi ya theories za kukalili darasani ndio maana huwezi bishana na watu wazima walio ona mengiWewe hiyo fimbo ya musa uliiona au nayo ni hearsay kama story zote za ushirikina zilivyo?
Mtu kugeuka mamba hearsay.
Watu kupaa na ungo hearsay.
Mama kujifungua jiwe hearsay.
Wachawi kupenya ukutani hearsay.
Fimbo ya musa hearsay.
Inabidi uwe zwazwa grade A1 kuamini hizi story za kusadikika.
Wewe bado mtoto na bado unalelewa na umekulia ndani kama kuku wa kisasa huna lolote unalo lijua katika kichwa chako zaidi ya theories za kukalili darasani ndio maana huwezi bishana na watu wazima walio ona mengi
Kheee! unataka uthibitisho kama nani? kwani we nani? [emoji2][emoji2]Nataka uthibitisho.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Wewe bado mtoto na bado unalelewa na umekulia ndani kama kuku wa kisasa huna lolote unalo lijua katika kichwa chako zaidi ya theories za kukalili darasani ndio maana huwezi bishana na watu wazima walio ona mengi