Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
- Thread starter
-
- #61
ubarikiwe mkuuLazima kwanza uwe umemkiri Yesu kuwa BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAko.
Lazima uwe na Roho mtakatifu ndani anayekushuhudia kuwa wewe ni mwana wa Mungu.
Na lazima uisikie sauti na maelekezo ya Roho mtakatifu ndani Yako,
Lazima uchukie dhambi na uishi maisha matakatifu,
Lazima uwe mtu wa maombi na kusoma neno lake,
Lazima uwapende wenye dhambi na kuwaombea na kuwahubiri Ili waokoke.
Ubarikiwe.
Swali zuri sana mkuu. πjambo zuri kuwa na chapa ya Mungu
Tunajuaje mtu ana hiyo chapa
au tunajuaje jina limeandikwa kwenye kitabu cha uzima
kwahiyoili usifanyiwe uchawi ni lazima tutubu mara tu tunapokosea?Uchawi unaishia dimension 03
Sasa ukiona unalogwa ujue tatizo kubwa lipo kwako wewe unayelogwa.
Maana ili ulogwe lazima lango lako liwe wazi.
Kuna innocence na guilty ukiwa innocence- (Mnyongofu) haumdhuru MTU wala kumuazia MTU mabaya ukiishi hivyo hata Kama hauendi msikitini au kanisani huwezi kulogwa.
Ili ulogwe lazima ulogeke , na njia rahisi ya kulogeka ni kuwa guilty kinyume cha innocence ni guilty.
Ukiona MTU anasema uchawi Una nguvu au amelogwa basi ujue yeye ndo Ana matatizo ameruhsu Giza ndani yake.
Unaweza kuona hii michezo yao wachawi huwa wanafanyiana wao kwa wao na sio watu wengine.
Wanawake huwa wanapitia hizi changamoto za kulogana kwa sababu hawapo innocence.
Dimension zipo nadhani hadi 7+ na uchawi huishia dimension 3 tu sasa ili ulogwe unakuwa umekubali mwenyewe kulogeka.
Ndo wajanja huwa wakiiba wanatubu na kujaribu kutakatisha walichokiiba hii yote hufanya ili kupandisha dimension ili wasiwe guilty na wakitubu huwezi kupiga ramli (dogma) ukawapata.
So uchawi MTU anayesema Una nguvu ni muhongo uchawi umekuzwa na mashekh na wachungaji bila sababu za msingi.
mganga anatumwa na Mungu?Ila kuna waganga waliotumwa na Mungu, ukiona mganga anaeagua tu bila pesa, anachukuwa kiasi cha mboga tu, ila tu ukipona utaona utampa nini. Hawa ni waganga wa kweli na wameshaokoa wengi.
Hii ni faith.Lazima kwanza uwe umemkiri Yesu kuwa BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAko.
Lazima uwe na Roho mtakatifu ndani anayekushuhudia kuwa wewe ni mwana wa Mungu.
Na lazima uisikie sauti na maelekezo ya Roho mtakatifu ndani Yako,
Lazima uchukie dhambi na uishi maisha matakatifu,
Lazima uwe mtu wa maombi na kusoma neno lake,
Lazima uwapende wenye dhambi na kuwaombea na kuwahubiri Ili waokoke.
Ubarikiwe.
(Mathayo 10:36)hii mizimu ya ukoo ni kitu common sana kukisikia, utaambiwa mizimu ya ukoo inataka hiki au kile
tunaepukaje? tukiacha kufanya vile inataka hatupati madhara?
kwahiyoili usifanyiwe uchawi ni lazima tutubu mara tu tunapokosea?
Hayupo aliyeokoka mwenye Alama ya Mungu katika paji la uso wake na akafanya ushirikina. Huyo ni tapeli, au anetoka katika mstari.Hii ni faith.
Kama mtu hana hiyo faith hawezi pata hayo.
Mimi nilikuuliza umetumia vigezo gani kusema walokole wanaheshimika sana katika ulimwengu wa Roho. Ili hali wapo walokole wanafanya ushirikina.? Huoni ume generalize tu bila uhalisia?
Mshana Jrccmshanajr
tusaidie kuthibitisha π π π maana nasikia ulikuwa kwenye game hizi
πTom Shelby "I Don't Pay For Suits. My Suits Are On The House Or The House Burns Down."
Ndio ukubaki sasa kuwa uli generalize kimakosa.Hayupo aliyeokoka mwenye Alama ya Mungu katika paji la uso wake na akafanya ushirikina. Huyo ni tapeli, au anetoka katika mstari.
Usichanganye mambo,
Wapo matapeli ambao huvaa suti na huja na vitambulisho kuwa ni wafanyakazi wa TRA Ili wakutapeli, wakati sio, ndio hao walokole Jina, hawatambuliki Mbinguni.
Nilisema wapi? Lini? Weka unaweza kuweka ushahidi hapa?mkuu nakumbuka ushasema mambo ya kilinge hufanyi tena
ni kweli kuwa mtu alikuwa akija unamjaza majini zaidi?
Hakuna. Hawajatumwa na MunguIla kuna waganga waliotumwa na Mungu, ukiona mganga anaeagua tu bila pesa, anachukuwa kiasi cha mboga tu, ila tu ukipona utaona utampa nini. Hawa ni waganga wa kweli na wameshaokoa wengi.
Hakuna tofauti sana na kwenye imani ya Kimungu... Kabla ya kujiuliza ya wachawi hebu kwanza jiulize, "kwanini Waislamu wenyewe kwa wenyewe wanapingana? (Kuna madhehebu mengi ila Shia na Sunni ndo makuu na hayo ndo kila uchwao wanatupiana maneno cha ajabu Quran ni moja wanatumia) Uje kwa wakristo napo madhehebu ni mengi sana, wanapishana kila uchwao lakini Biblia ni moja, (jiulize swali hilo, maana hakuna swali lililo kosa jibu.. ukikosa jibu labda hujui tu)wakuu hebu tusaidiane.
waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani
kwanini wanapingana
mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife
cc rakims
ccmshanajr
walker water
Nitishamba si uchawi.Hili suala la uthibitisho ni tata maana mfano unakuta inajulikana hakuna dawa ya ugonjwa fulani lakini kuna watu huko wanatumia mitishamba yao kutibu ugonjwa huo huo ila kwa kuwa hakuna uthibitisho wa kisayansi kwa dawa hiyo basi inaendelea kubaki kuwa huo ugonjwa hauna dawa.