Waganga wa kienyeji na wachawi ni mawakala wa shetani, kwanini wanapingana

wenye madhahebu mje mtueleze why yapo mengi na je yote yako sawa au kuna ya uongo
 
Ndio ukubaki sasa kuwa uli generalize kimakosa.
Unaizunguziaje Matendo 8:18-20
Huelewi wewe, ndo 8:18-20

Huyo simoni alikuwa mganga mwenye Pepo la utambuzi na ubaguzi, akiagua watu kichawi,

Alipoona watumishi wa Mungu wanaponya watu Kwa Roho Mtakatifu alidhani wale ni Waganga waliomzidi Cheo,

Akawaomba wampe karama hiyo Kwa kununua Kwa pesa. Watumishi walimkemea na kumtimua wakimwambia, KARAMA ya uponyaji wa Mungu,hainunuliwi Kwa pesa.

Yeyote anayeomba pesa kabla Ili akuombee ni WA UONGO. Anayesema mwenye malaria atoe 20,000 nimwombee, na mwenye ukimwi atoe Mil 20, huyo ni tapeli, agent wa kuzimu.

Umeelewa?
 
Kwahiyo kumbe hawa majini,mizimu,mashetani n.k ni malaika ila na matendo yao ndio yaliyofanya walaaniwe na kuitwa hayo majini mizimu mashetani n.k?
Ni Malaika wa Giza.

Usigeneralize Malaika. Malaika wa Giza kamwe haezi kutubu na kurudi kuwa wa Nuru, sababu wao hawakupewa nafasi ya kutubu,

Shetani angetubu, ingekuwapo nafasi hiyo, ndiyo maana anawaonea WIVU na hasira WANADAMU.
 

Sawa labda kweli sielewi.

Je unakubaliana na mimi kuwa Simioni wakati anataka kununua hiyo karama tayari alikuwa ameokoka, amebatizwa, ilibaki tu kupokea Roho Mtakatifu?

Utajua kama alikuwa anahudumu kanisani pamoja na mchungaji Filipo baada ya kuokoka?

Hakukemewa na watumishi, alikemewa na mtumishi mmoja tu (Petro) maana mchungaji Filipo alikuwa anamuona Simioni kama mtumishi wa Mungu maana ameacha uchawi na kuokoka. Lakini Kumbuka huyo huyo Filipo alikuwa anatumiwa na Mungu kwa kiwango kikubwa kufanya miujiza ndio maana Simioni akakubali kuokoka.

Kwa nini mchungaji Filipo (alikuwa ameokoka) hakuiona roho ovu iliyokuwa ndani ya simioni mpaka Petro alipokuja ndipo akaiona?
 
Umetumia vigezo gani kuwataja hao?
 
Simon hakuwa ameokoka, na hakuwahi kuokoka,

Huwezi kuwa mchawi na mtumishi wa Mungu at one,

Ndomana Yesu alisema, huwezi kuwatumikia mabwana wawili,

Ikiwa Kuna Mchungaji Kanisani na ni mchawi, jua uchungaji anazugia tu,

Nuru na Giza havichangamani.

Umeelewa?
 
Kigezo ni ROHO mtakatifu, huwathibitisha.

Ukiwasikiliza, ikiwa unaye Roho mtakatifu, atathibitisha, pia wanapimwa Kwa NENO la Mungu, ikiwa ni WA Mungu, hatoendan kinyume na maelekezo ya BIBLIA.
Usipende sana kudhani kila anaeku challenge hajui. Tunatafuta kuelimisha na kukosoana tulipoelewa tofauti. Maana Roho Mtakatifu hutoa tafsiri ya neno kulingana na wakati husika ili liwe suluhisho sio historia.

Kwa vigezo hivyo hivyo ulivyotumia kuwataja hao, naomba unitajie ukiokwisha wagundua kuwa sio wa kweli.
 
Naamua kutokukujubu Ili niwafahamishe wasio na ufahamu kuliko kukujibu unayenijaribu.
 
Unaweza ukatoa mifano ya uhalisia kwenye hayo uliyoeleza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…