Waganga wa kienyeji wanawafaidi sana wanawake

Mbona mwamposa anawaibia sana ila watu hawasikii mpk katengeneza bonge la kanisa

Hhhhh dah watu wanawatajirisha wengine wao wakibaki na umasikini
Wapi kutengeneza,na huo ndo mwisho wake
 
Hivyo vihunzi vya matatizo ya uzazi wanawake huwa hawawezi kuvikwepa.

Na waganga wengi hutumia mwanya huo kama fursa.

Wanawalala sana wateja wao vyovyote wanapojisikia kufanya hivyo bila pingamizi lolote.
Kwani wanawake wenyewe Wana shida basi,hawana shida,wao wanapenda kuliwa uroda na wanapenda kweli sema tuu hawasemi watasema.siku sii nying
 
Huwa nawaza hivyo hamu ya kufanikiwa kilichowapeleka ndo sababu au ndo huyo mganga kuna namna anawafanyia basi wanajikuta wanaona tu hiyo kitu ni sawa.

Mana sio hali ya kawaida hiyo jamani.
 
Hii nchi ngumu sana aisee
 
Kama haujapata shida unaweza kudhani watu niwajinga wanaotafuta msaada huko🤣. Lakini wanawake wanashida kuliko wanaume ndio maana wanatafuta msaada zaidi
 
Mkuu ikitokea wateja wanaomba uwape ushirikiano uwapeleke kwa huyo binamu yako wakapate na wao tiba mbadala je, upo teyari kutoa ushirikiano bila kujitetea ulikua unafurahisha genge mkuu?
 
🤣 Ndugu yenu alipona hakupona ?? Tuanzie hapo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…