Waganga wa kienyeji wanawafaidi sana wanawake

Uganga ni kitu kigumu sana it's scary

Ukiwa mganga ambaye nature ndio imekutaka uwe una ponya watu hauwezi kufanya huo Ujinga kwanza madudu yatakuua dakika 0 tu kmmk
 
🀣🀣 Nitag katka huo Uzi
 
Uganga ni taaluma kama zingine,zipo aina nyingi za waganga hadi wa hospital ni waganga, uganga sio mbaya ubaya ni matumizi mabaya ya nguvu za kiganga kudhuru.
Uko sahihi hapo ni tatizo la job ethics na Hilo lipo ktk Kila sekta

Kuna maaskari Wala Rushwa mahakimu Wala Rushwa madaktari Wala Rushwa and the likes but hiyo haimaanishi kuwa hizo sekta ni sekta mbaya tunaona kuwa wapo wanao zihudumia hizo sekta Kwa umakini wa hali ya juu na wananidhamu na uaminifu pia ,

So Kila kazi haikosi hao watu
 
Mkuu huyo mganga anakaa wilaya gani? Kuna jamaa mmoja hapo Morogoro mwenye tabia za huyu binamu yako. Anawagonga sana pisi kali wanaojipeleka kwake kusaka huduma.
 
Mtani samahani sana hivi uliwezaje kuacha?
Hakuwa na hiyo karama by fate huyo

Kazi yenyewe Ukiwa choosen one ukiiacha una kufa au unapata marashi ya kudumu au una kuwa masikini was kutupwa Yaani sio mchezo
 
Mkuu huyo mganga anakaa wilaya gani? Kuna jamaa mmoja hapo Morogoro mwenye tabia za huyu binamu yako. Anawagonga sana pisi kali wanaojipeleka kwake kusaka huduma.
🀣🀣🀣 Mganga Gani huyo !? Morogoro sehemu Gani
 
🀣🀣🀣 Mganga Gani huyo !? Morogoro sehemu Gani
Mo Town mkuu. Huyo binamu yako yupo Moro ipi? Isije ikawa ndiye mwenyewe. Anawainamisha sana akina mama. Nadhani anatumia madawa, sio kwa kugegeda kule!πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Mo Town mkuu. Huyo binamu yako yupo Moro ipi? Isije ikawa ndiye mwenyewe. Anawainamisha sana akina mama. Nadhani anatumia madawa, sio kwa kugegeda kule!πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
😁😁😁 Nipo Moro ndio maana nauliza
 
Waganga wa kienyeji washenzi sana. Kuna ndugu zangu wana mwaka mzima hawaongei kisa hizi mbanga za waganga. Shenzy kabisa hawa viumbe.
 
Hakuwa na hiyo karama by fate huyo

Kazi yenyewe Ukiwa choosen one ukiiacha una kufa au unapata marashi ya kudumu au una kuwa masikini was kutupwa Yaani sio mchezo
Au labda alikuwa wale wa kuununua kwa mtu ila wenyewe kabisa wa asili hauwezi kuukana
 
Au labda alikuwa wale wa kuununua kwa mtu ila wenyewe kabisa wa asili hauwezi kuukana
+ Upigaji Ndio itakuwa alikuwa yeye

Uganga wa Asili ukiukataa jiandae kuwa kituko Duniani au la Wana kuua kabisa Hakuna atakaye weza kukusaidia,

Bad enough Huo ugomvi hautoisha Hadi Kwa vizazi vyako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…