Waha tupeni majibu ya hii kauli ya Lissu; 'Kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli'

Waha tupeni majibu ya hii kauli ya Lissu; 'Kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli'

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
529
Reaction score
1,150
Akihojiwa na Charles William wa Wasafi TV, Lissu alisema 'kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli. Mpaka mwandishi kacheka na mimi mwenyewe nimecheka kweli kweli.

Embu Waha njooni tulijadili hili, hapo Kazura Mimba kunani?? Au ni mbegu za majini hahahahahahaa kulikoni watoto wengi hivo aisee

tea_mobama-_012515064953.jpg
 
Back
Top Bottom