Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 529
- 1,150
- Thread starter
- #41
AiseeYawezekana hawajambo, sio mwenyeji wa huko ila nshawahi kuishi katika harakati za utafutaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeYawezekana hawajambo, sio mwenyeji wa huko ila nshawahi kuishi katika harakati za utafutaji
Na kichocheo kikubwa cha Tanzania watu kuzaana sana nahisi ni upatikanaji wa chakula. Hii nchi watu wanakula vizuri sana tena sana.Hicho kijiji kimetumika kama mfano tu kwa sababu katika watu wanaozaana sana, wao wanaonekana kushinda ligi.
Ila, kiujumla, Watanzania wanazaana sana. Kuanzia kwa Waha magharibi, mpaka kwa Wasukuma kanda ya ziwa Nyanza, mpaka mashariki Pemba kwa Wapemba. Kwa mifano michache tu.
Kwa hii national population growth rate ya 3% Tanzania ita double population in 23 years. Yani katika miaka 23 ijayo, idadi ya watu itazidi milioni 140. Miji kama Dar wenye population growth rate ya 4% or more inaweza ku double population katika miaka 15 tu.
Sasa hapo maendeleo tutaweza vioi wakati kika cha ziada tynachopata kinaenda kulisha watoto?
It's like we are running on a treadmill, running just to stay at tge same place, how do we expect to get ahead like that?
Muache Tundu Lissu aseme ukweli tu. Huo ndio uongozi.