Waha tupeni majibu ya hii kauli ya Lissu; 'Kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli'

Waha tupeni majibu ya hii kauli ya Lissu; 'Kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli'

Mchawi ni kula kushiba tu baada ya hapo kamchezo
Akihojiwa na Charles William wa Wasafi TV, Lissu alisema 'kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli. Mpaka mwandishi kacheka na mimi mwenyewe nimecheka kweli kweli.

Embu Waha njooni tulijadili hili, hapo Kazura Mimba kunani?? Au ni mbegu za majini hahahahahahaa kulikoni watoto wengi hivo aisee

View attachment 3201605
 
😂😂
 
Hicho kijiji kimetumika kama mfano tu kwa sababu katika watu wanaozaana sana, wao wanaonekana kushinda ligi.

Ila, kiujumla, Watanzania wanazaana sana. Kuanzia kwa Waha magharibi, mpaka kwa Wasukuma kanda ya ziwa Nyanza, mpaka mashariki Pemba kwa Wapemba. Kwa mifano michache tu.

Kwa hii national population growth rate ya 3% Tanzania ita double population in 23 years. Yani katika miaka 23 ijayo, idadi ya watu itazidi milioni 140. Miji kama Dar wenye population growth rate ya 4% or more inaweza ku double population katika miaka 15 tu.

Sasa hapo maendeleo tutaweza vioi wakati kika cha ziada tynachopata kinaenda kulisha watoto?

It's like we are running on a treadmill, running just to stay at tge same place, how do we expect to get ahead like that?

Muache Tundu Lissu aseme ukweli tu. Huo ndio uongozi.
 
Asante Sana Lissu Kwa kunipa Chaka Wacha nipange safari niende zangu kazura mimba kutafuta papuchi za watoto wa Elfu 2.

Kura yangu Kwa Lissu
 
Back
Top Bottom