Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 529
- 1,150
Video
AloooWakila Wakishiba Tu Kumwaga
Waweke mwongozo kunani humooHata Mimi nimesikia..KAZULA MIMBA πππ€£π€£
TUNAOMBA MUONGOZOO
Cheki video kasema kweli, labda ni uongoo
Hahahaa inashangaza ni kwanini watu wanauchukia ukweli. Watu wa Kazura Mimba nahisi Lissu ameshapishana na kura zao hahahahaMusiba kamwambia Lissu mwanasiasa hatakiwi kuwa mkweli sana, atakosa kura za Waha sasa ππ.
Lissu masikini jeuri.Hahahaa inashangaza ni kwanini watu wanauchukia ukweli. Watu wa Kazura Mimba nahisi Lissu ameshapishana na kura zao hahahaha
Uchunguzi ufanyike aisee, itakuwa wanaume na wanawake wa Kazura Mimba wana enjoy sana cake ya taifaKwa kuna mwijakuπ
Lissu ni mkweli kiasi kwamba mkiingia vyoo vya umma kwenye vile vi sinki vya kukojolea unaweza kuogopa kuwa jirani naye ukihofia ukubwa wa nyeti zako huwekwa hadharaniLissu masikini jeuri.
Kura yako anaitaka na kukuchamba anakuchamba ππ.
Embu funguka kidogo kwenye hilohaha drama zoote anatafutwa mmoja tu hapo naye ni raisi ajaye 2025-30/35 P.Mpango (PhD) β¦
ngoja tusubiri majibuNgoja tumuulize Malaika wa Waha