Wahitimu wengi wanajutia kusoma chuo kikuu. Mzazi mwandalie mwanao Mtaji. Zama zimebadilika

Serikali hailazimishi mtu kwenda chuo kikuu
Hata vifunguliwe milioni au kiwe chuo kimoja au viwili.

Kazi ya vyuo kusomesha mtu alichosoma arakipeleka wapi sio kazi ya chuo ni ya huyo aliyesoma

Vyuo vitaendelea tu kuongezeka wao wanafunza tu mambo ya ajira sio yao

Shida iko kwa anayesoma kama anajua ajira hamna mtu akimaliza digrii anaenda kufuata nini chuo kikuu kuchukua course isiyo na ajira?
 
Natamani vijana wote wanaoenda chuo mwaka huu waione hii comment
 
Ni kweli elimu mitandaoni ipo, but, ili unufaike nayo, ni lazima uwe umesoma. Illiterate au darasa la 7, hawezi kunufaika na elimu ya mitandaoni.
Kwa hii mistari unajichanganya mzee.
Unaweza eleza manufaa ambayo drs7 hapati na huyo wa chuo anapata ?


rich, the aim of education is to get wisdom, na ndio
unaweza weka reference hapa. Wengi sana wamepata eisdom bika hio rlimu ya hiko milimani. Mfano Sokret hakuwa na elimu ya mlimani. Jesus, Muhamad, Budha nk hao wote ni watu wenye wisdon waliowahi kuishi na wala hawajaenda huko milimani.
Istoshe malaki ya watu wamefoika elimu ya juu na hawana hio wisfom.



Elimu ni knowledge, and it is not power
Education is one of source of powrr.Mimi nakumboka hivyo.
Anyway kama unaxnfika gommon sense sawa ila kama ni taarifa za kwenye madesa na vitabu mengi hapo opinion zako.
Opinion zake usifanye kuwa facts.
Nadhani umejikita zaidi kwenye maoni binafs na umeshindwa kuelezea freedom of thought ukaeleweka.
Unapotoa mfano eti kuna profesa hana hela na drs la 7 ana hela. Unadhanu huu ni mfano sahihi kwa utetezi wako? Hudhani huu ni mfano dhaifu ambao ndio umetokana na mada kuu ?
Wewe neno ukombozi unalielewaje ?

Lengo la kusoma siyo utajiri
Hapa hatujazungumzia utajiri . Tunajadili elimu imsaidie mtu kupata kazi, ajiajiri au aajiriwe apate pesa za kujikimu badala ya kukaa nyumbani.
Msingi wa Mada ni watu wapate pesa za kujikimu mahitaji yao.Mada hapa haijasema mtu awe MOE.
Umevurugwa sana na vitabu vya kina Kiwasoki ,Cant, Plato. Vimekuvuruga mkuu.
Jaribu kujadili ktk uhalisia wa maisha acha hypothesis za kina plato, kiwasoki .
Wanaosoma kwa lengo la kufurahia kusoma tu hapa TZ hawapo na ndio maana kozi zisizo na ajira takwimu imeanza kushuka, vijana hawazitaki wameshtuka zinawapotezea mda.
Kuna kipindi huko Japani vijana walikuwa wanajinyonga sana kwa sababu ya kukosa ajira baada ya kuhitimu, kwa hio Japan hawa hio freedom ? na sasa hali hio inaanza kutokea TZ.
Usijadili tu kwa kuwa umevuka huo msala tena kwa bahati tu ya kutokuwepo ushindani au kubebwa na mfumo.
 
Aisee.kumbe.
 
Hakuna mtu mpumbavu kama umesoma IT halafu unalalamika huna kazi.
Inaezekanaje huna kazi au huna tu elimu bali una cheti!

Degree kama IT huhitaji kuliliia kazi.IT inavitu vingi sana vya kubuni na kujipatia kipato labda kama huna uwezo tu
 
Coca nikwakuwa una chanzo cha kipato huwezi kuona ajira kama kipaumbele chako.

Kama kila mmoja angeweza kupata mtaji na kuona fursa. Hakika hakuna ambae angetaka kuajiriwa.
 
Kwa hiyo unataka muendelee kuwa wachache ili mtumie degrii zenu kutukania wasio nazo?
Badala ya kuona uwepo wa vyuo kama tishio,unapaswa kuiona hii kama fursa ya kupambana kuwa bora zaidi miongoni mwa walio bora.
Fikiria nchi kama China,watu wanashindana kufanya ubunifu.
Changamoto kubwa ya kuzungumzwa,ni aina ya elimu inayotolewa na ubora wake.Kwa vile hadi sasa lengo ni kuwa na vyeti tu,bado tunaruhusu uhuni wa kila aina unatokea kwenye mchakato wa elimu ili mradi uvuke vikwazo tu upate cheti.Tutegemee malalamiko kama haya tu miaka mingi baadae
 
Siuoni ubaya wa kusoma chuo kabisa.

Mtu analalama kusoma chuo wakati hicho chuo ndio kimemleta mjini, bila chuo vijana wengi wangekua sitimbi huko kwenda mjini ni mpaka apate ngekewa.

Kama elimu yako haikusaidii kwa chochote maishani basi una hasara kubwa sana bora hata usingelikuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…