Wahuni waiba engine ya lori lililotumbukia Mto Wami

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo sawa mamaeeee....itakuwa wamepita nayo huko chinii yanii khaaa
Sasa ulinzi uko pale pale kibin ya gari tena scania inachukuliwa ilivyo kubwa kuifungua na kuitoa tena kwenye maji na na kuna mamba nao walinzi mle kibin inaondoka wee unafikiri ni mlala hoi kama mimi na wewe naweza fanya hivyo bila mimi mwizi nisilindwe?
 
Aisee msalaa sanaa...hapo mama kachezewa mchezoo!! Kama kuna walinzi walikuwa wanalinda usikuu imeishaa hiyooo na wale waliojaribu kuitoaa mara ya kwanzaa wanaweza kuwa wanahusika kwa asilimia 80
 
Pale juu kulia kama unatoka tanga kuna kambi kubwaaa ya jeshi na pale pale mtoni pembeni kushoto kama unaenda kuna kituo cha polisi. Hivyo hao wezi nao wanaujuzi fulani.
Kingine huwezi jua mamba nao mle wamo

mamba wameanza lini kula chuma..au unataka kutuambia mamba waliifungua cabin na engine na kuondoka nayo........
 
Aisee msalaa sanaa...hapo mama kachezewa mchezoo!! Kama kuna walinzi walikuwa wanalinda usikuu imeishaa hiyooo na wale waliojaribu kuitoaa mara ya kwanzaa wanaweza kuwa wanahusika kwa asilimia 80
Hiyo ishu ni kubwa sana uchunguzi ukifanyika bila upendeleo kuna watu watafungwa kwa kuhusika
 
Mimi sijakuelewa. Hapa sasa unamaanisha injini imechomoka na kuzama majini au?
 
Kama ni kweli maneno yako Mkuu basi na walaaniwe hao wahuni,Sasa hapo tukimuita yule Bibi wa Kijaluo Awafanyie dawa waje Kunywa Maji ya Mtoni mtatulaumu kweli?Wahuni ebu rudisheni haraka Engine ya Dada wa Watu.
Wahuni hawa deal na mitandao
 
Kama ni kweli maneno yako Mkuu basi na walaaniwe hao wahuni,Sasa hapo tukimuita yule Bibi wa Kijaluo Awafanyie dawa waje Kunywa Maji ya Mtoni mtatulaumu kweli?Wahuni ebu rudisheni haraka Engine ya Dada wa Watu.
Walioiba watakuwa watoto wa dawa😁
 
Kuna uwezekano kuwa injini na gearbox ziling'oka kutoka na impact ya kugonga nguzo ya daraja na kudumbukia mtoni. Sitastaajabu kama wazamiaji wanaweza kuzipata majini wakiendelea na kuzitafuta.
 
Nami naungana na wewe, injini itakuwa imebaki ndani ya maji kutokana na impact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…