Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #81
Alianza vizuri sana kwa sauti ya dhahabu lakini siku hizi sijui anaimba vitu gani. Neema ya Mungu imsaidie arudi kwenye zile zama.πππ bahati kwenye reggae ni mwisho, nahisi wanaokula mjani wanaweza, kusikiliza gospel ikaingia vizuri kwa vionjo vyake na ile sauti nzito halafu kavu
Mkuu lugha kali sana.π€£ Neno la Mungu halibadiliki lakini namna ya kulifikisha kwa mataifa yote inabadilika.Munishi aliimba zama zake zama zile za kwaya ya uliyankulu barabara ya 13.
Hakika hawa wakimbizi waliimba ujumbe wa neno la Mungu na sio hawa watumishi wa shetani wakata viuno na dance za kipepo ngono makanisani.
"Katika viumbe vyote vilivyoumbwa........"
Dada yetu akisimama tena katika imani na kurejesha ushuhuda lazima ataingia kwenye list. Tuendelee kumuombea.π[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Na Itabaki kuwa hivyo...Vizazi hata Vizazi..
Kwa vigezo vilivyotumika hayupo. Akikumbuka kurudi kwenye misingi iliyompelekea kufahamika ataingia kwenye list. Tumkumbuke kwenye maombi.πBahati Bukuku hayupo?
True, Christina ana sauti nzuri sana sanaaa na hata akiwa live ipo hivyo hivyo ila sema siku hizi kama kawa commercial zaidi kuendana na kizazi cha angel benard.. Nimemmiss pia yule wa zamaniAlianza vizuri sana kwa sauti ya dhahabu lakini siku hizi sijui anaimba vitu gani. Neema ya Mungu imsaidie arudi kwenye zile zama.
Bila shaka ππYule dada kwakweli ni muimbaji mwenye karama kubwa na hata kazi zake zilikuwa bora.
Miaka inayokuja akiweza kurudi kwenye imani na kisimama thabiti itakuwa ushuhuda mkubwa na hakika ataingia kwenye hall of fame.
Kweli kabisa, waimbaji wanatakiwa kupata somo kutoka kwa mwalimu Mwakasege inapokuja suala la kutunza kile kitu Mungu ameweka ndani.True, Christina ana sauti nzuri sana sanaaa na hata akiwa live ipo hivyo hivyo ila sema siku hizi kama kawa commercial zaidi kuendana na kizazi cha angel benard.. Nimemmiss pia yule wa zamani
Dah we kweli mtu wa ajabuMwansasu yupo kwenye list ya pili pale maana namfahamu sana.. ila huyo Jangalason hajafikia level ya kitaifa.
Kumbuka hapa hatupimi kipawa, tunapima namna alivyoweza kukua kwenye kipawa na kugusa watu wengi nchini.
Sasa hivi yupo wapi huyo Jangalason?Dah we kweli mtu wa ajabu
jangalason alipenya kipindi cha mikanda ya kaseti sio zama za instagram za unamjua nani
Kwanza ulikuwa humjui hata nikikwambia alipo haitakusaidiaSasa hivi yupo wapi huyo Jangalason?
Munishi tunajua alipo, huyo yupo wapi? Mtu kama Fanuel Sedekia alifariki zaidi ya miaka kumi iliyopita lakini hakuna mtu anayepinga kuwepo kwenye top ten.. sasa huyo Jangalason yupo wapi?Kwanza ulikuwa humjui hata nikikwambia alipo haitakusaidia
kipindi kwaya zipo juu huyu na Munishi walikuwa solo wakieneza injili haswa
hawa ni wainjilisti waliokuwa wanaimba haswa
hao iliowataja wote ni kizazi cha kusapotiana instagram
haya sijuiMunishi tunajua alipo, huyo yupo wapi? Mtu kama Fanuel Sedekia alifariki zaidi ya miaka kumi iliyopita lakini hakuna mtu anayepinga kuwepo kwenye top ten.. sasa huyo Jangalason yupo wapi?
Boaz, Mwangosi walitakiwa kuonekana kwenye top ten.Unamjua Rehema Simfukwe?
Martha Mwaipaja ana tofauti gani na Bahati Bukuku? Tena kwa vigezo ulivyoweka, Bahati Bukuku yupo mbele ya Martha Mwaipaja. Boaz Danken pia yupo mbele ya Joel Lwaga!
Huyu malaya na mvuta bangi?Hakuna kama rose muhando
Nitarud
Angeweza kudumu kwenye ile level basi hakuna ambaye angezuia yeye kuwa namba moja. Tunamuombea arudi tena.Album moja tu ya Rose Mhando ya 'Uwe Macho ' ni sawa na kazi zote za hao uliowataja hapo juu.
Boaz atakuja kuingia kwenye top ten siku za usoni. Mwangosi anatembea na wingu la mwalimu, hajasimama sana yeye mwenyewe.Boaz, Mwangosi walitakiwa kuonekana kwenye top ten.
Joel alikuwa wa sitabaki kama nilivyo. Hizi anazozitoa hivi sasa ni kama anajikamua sana.
Ukishaingiza mitindo ya dunia kanisani,nini tofauti ya kanisa na club.Mkuu lugha kali sana.π€£ Neno la Mungu halibadiliki lakini namna ya kulifikisha kwa mataifa yote inabadilika.
Mimi ninaamini kwenye vionjo tofauti tofauti ikiwa misingi ya neno la Mungu haijavunjwa.
Madawa ya kulevya, roadmap my f**Hiyo ndio roadmap ya waimbaji wa kizazi kipya kama solo gospel singers..
Huyo ndio aliiheshimisha gospel music ya bongo hadi nje ya nchi,
Kiufupi wengi wanamuona kavurugwa na mapito yake lakini haiwezi kuondoa mchango wake unaostahili Hall of fame..
Kwanza muimbaji gani anaweza kuimba kwa high pitch na kucheza kwa energy kama yeye [emoji5][emoji5], nyimbo za sifa ni mwisho