6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 2,819
- 5,996
Adolf Hitler yeye alipambana na wazungu wenzake kutoka Ugiriki, Poland, Uturuki na wengine wengi wa ulaya mashariki waliombilia katika nchi za magharibi haswa Ujeruman kusaka maisha.Adolf Hitler akifufuka akakuta siku hizi kuna wayahudi weusi, wazungu, waarabu, wajapani na wachina atachanganyikiwa.
Ndo Adolf Hitler akaona ujinga mtupu watu watoke mashariki kwenda magharibi kuchukua fursa za raia wake. Akaamua anzishe operation ya ku deal nao kwa kuwachinja na kuangamiza. Hata leo bado kuna wazungu kibao kutoka ulaya mashariki wanaokimbilia magharibi na haswa Ujerumani na Uingereza.
Sasa baada ya operation ile kuisha, hapo hapo wazee wa kazi wakageuza na kudai wale waliouwawa walikuwa ni wayahidi nk. Ili wajifanya wanatafuta njia ya kuwarudisha kwao waliobaki (hapo sasa ulikuwa unapangwa mpango wa kupeleka wazungu) kwa kisingizio cha wayahudi walionusurika na operation ya Adolf Hitler.
Ila kiuhalisia Hitler aliuwa wazungu wenzake kutoka East waliokimbia matesa na mauaji yaliofanywa na utawala wa Ottoman huko Ulaya mashariki.