The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hao ni wapumbavu Sana,hapo wananchi wanalipwa fidia na wanahamishiwa eneo zuri zaidi lenye huduma zote ikiwemo kupimiwa viwanja Ili kuongeza thamani ya Jiji lao huko mjini..Achana na hao mkuu, ni walewale wa-farm na kiongozi wao yule m-chattle, ze dead!
Jesus is Christ
Kweli kabisa,ukimuona mwekezaji inatakiwa ushangilieKama vipi huyo muwekezaji aje Moro tuijenge manispaa yetu
Nyambura acha wachezee bahatiKweli kabisa,ukimuona mwekezaji inatakiwa ushangilie
Na muungano tunavunja vipande vipande beyond repair🙂🙂🙂🙂Ndiyo maana huwezi kusikia upande wa Zanzibar anauza akimaliza kuuza 2025 anaenda kuishi Zanzibar
Elimu nayo muhimu sana kwa watz wengi. Bado tuko zama za kuona mwekezaji kama mnyonyajiNyambura acha wachezee bahati
hawana hata pa kunya, tabu tupu!Wewe ndio msemaji wa hao maskini wa huko? Kawaulize kama wanapenda kuishi vile
Bila miundo mbinu ya maji taka hapafai kabisa kwa makazi. Once again mama yupo sahihi .wawatoe tuView attachment 2260221
Halafu kajiuzulu zake fast ili aendelee kucheki moviNdugai pamoja na kwamba ni chizi lakini alisema ukweli kuwa nchi imeshauzwa
Muulize Samia.Kwa hiyo wahisani ndio Wana pesa za kuwapa nyie muwe mnazifisadi sio?
Unaweza Kuta na wewe unajiita ni msomi 😆😆😆😆
Ni mbususu yakoWewe unaona hizo ni nyumba au uchafu?
Alishinikizwa wala hakujihuzuluHalafu kajiuzulu zake fast ili aendelee kucheki movi
Cha muhimu wawalipe hel aya kueleweka,una nyumba na kiwanja vyote thamani halisi mil.200,unalipwa mil.300 una haja gani ya kung'ang'ania hapo,kama uwekezaji una tija waachiwe tu kuwekeza...Jamani msijifanye mmezima DATA washeni aisee maana Mwanza nako tayari washaanza
Hiyo ni Ofisi kabisa wameajiriwa Kwa KAZI hiyo. Muda wote utawaona jamvini. Wana muda mchache sana kuwepo.Mwana unajiona upo juu sana wallah..!!!
Yakiisha maeneo ya uwekezaji tufatuata sisi watanzania kuwekezwa... Stay alerted!Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndohabari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake.
Huo UOVU ulianza kipindi Cha mzeee wa ruksa, Mwl Nyerere aliizima hoja hiyo ya utapeli Kwa kuwambia Wachukue idadi ya watu wote waishio milimani Mwanza.Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndohabari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake...