Waislam hawakushiriki kwenye biashara ya utumwa na vita kuu za dunia

Basi musome Alhaj Ibn Batuta na historia yake ya uislamu na utumwa kama una mtazamo huo.
Kwakuwa umeanza na Alhaji unafikir nitatereleka nakuambia wazi kwamba kipindi cha zamani historia ilivurugwa na kufichwa na historia iliyoruhusiwa kutolewa ni ile iliyokubalika tu na Watawala kwahyo ukitaka historia sahihi nenda kwenye museum Nyingi kwa sasa wameruhusu historia zote zenye miaka zaidi ya 200 zisomwe kama zilivyo ...

Na soon Historia ya Tanzania halisi itakuwa Hewani maana barua na doccuments za Siri za Tanganyika zitaachiwa Mwaka 2036
 
Sasa kwani me nimeongelea Vita ya dunia kwenye bandiko langu lolote acha upungua Bwana mdogo soma vizuri au una utelezi kwenye macho
 
Nashukur Umejijibu mwenyewe kwamba walikuwa ni wazungu..

Sasa unanimbia kuhusu watu waliotengenezwa ili wachafue
Jiulize kipindi hicho walikuwa chini Ya bifu kali kati ya Mwarabu na mzungu aliwezJe kumuoa mzungu
Mkuu inabidi uisome historia vizuri kuhusu huu ulimwengu.Umeniuliza maswali ila umekosea kuandika sijakuelewa.
NB: KWA UCHACHE TU UTAWALA WA OTTOMAN ULIKUA UNATAWALA MAENEO YA BALKAN ULAYA NA WALIKUA WANAUZA WATUMWA WA KIKE KWA WATAWALA WA KIARABU KUTOKEA BALKAN AREA NA CAUCASIAN WA GEORGIA NA TARTAR,S WA CRIMEA.
HATA WATAWALA WA OMAN WALIKUA WANANUNUA WATOTO WA KITUMWA WA KIZUNGU NA KUWAFANYA VIJAKAZI BAADAE WAKIKUA.
SOMA HIKI KITABU CHA BINTI WA SEYID SAID.
 
Sasa mkuu unataka kukataa Ibn Batuta hakua Alhaj?
Mada yetu ni uislamu na utumwa na tusitoke nje ya mada mkuu
 
Mkuu ebu tutake radhi,,,,,nani kakuambia biashara ndani ya jangwa la sahara imeanza miaka ya 1800,s.
Unalijua jangwa la sahara lilipo na jamii zilizokua zinalizunguka kwa miaka zaidi ya 9000 iliyopita?
 
MADA NI UISLAMU NA UTUMWA .USITOKE NJE YA MADA NDUGU YANGU
 
Mkuu ebu tutake radhi,,,,,nani kakuambia biashara ndani ya jangwa la sahara imeanza miaka ya 1800,s.
Unalijua jangwa la sahara lilipo na jamii zilizokua zinalizunguka kwa miaka zaidi ya 9000 iliyopita?
Mzee trans saharan trade imeanza karne ya 9 ila imeshamiri kwenye karne ya 16 mpaka 18
 
MADA NI UISLAMU NA UTUMWA .USITOKE NJE YA MADA NDUGU YANGU
Ukisoma ndo utajua...Jaribu kuunga Dot waarabu wakiwa wamekuja kueneza Dini Karne ya 7 mpaka ya tisa ...Hakukuwa na kushamiri kwa biashara ya utumwa ila biahsara ya utumwa imeshamiri kipindi ambacho wazungu wameanza kuingia Karne ya 16 na kuendelea mkuu hiko hakikushtui tu
 
Inawezekana akisikia Ottoman anadhani ni ile sinema ya Azam TV

Amewahi kufika hata Bagamoyo huyu?
 
Inawezekana akisikia Ottoman anadhani ni ile sinema ya Azam TV

Amewahi kufika hata Bagamoyo huyu?
Upuuuzi ni kuamini kwamba watu wote wanawaza upuuzi kama unaouwaza ...
Nikukumbushe tu hata chizi hajui kama anakichaa kwahyo jiangalie uchizi usikupeleke sana..

Kwa Taarifa yako Ndogo Hyo Elimu ya Historia ndo iliyonifanya leo hii niku Huku kwa hao mnaowasujudia nyinyi...
Kifupi nina BA in History na Nina Master degree in African History nachokisema nakijua vizuri...

Na kwa bahati nzuri nafanya kazi museum moja hapa kwa Miungu yako
So I know how they kept the Archieve and how they played with your History...
 
Mleta Uzi unataka wavaa kobasi watukanwe Bure Tu πŸ˜‚
 
πŸ˜…πŸ˜… KwHyo hii ndo swali lako la kipuuuzi la darasa la pili inaoonekana wengi bado mnasoma hekaya za Bunuwasi mlizolishwa matango pori. tangu zaman
Mkuu kama hujui biashara za jamii zilizokua zinalizunguka jangwa la sahara basi huwezi kujua kuhusu uislamu na biashara ya utumwa na kumjibu aliyeleta uzi.Ambapo nimemjibu kwa ufasaha kila kitu.
 
Mkuu kama hujui biashara za jamii zilizokua zinalizunguka jangwa la sahara basi huwezi kujua kuhusu uislamu na biashara ya utumwa na kumjibu aliyeleta uzi.Ambapo nimemjibu kwa ufasaha kila kitu.
Umejibu kwa ulichokariri sio ufasaha Nimefanya tafiti nyingi sana na Tafiti yangu mojawapo ya Master ilikuwa ni Utumwa wa E.A na athari zake kwahyo nilihoji watu wa Zamani pamoja na kuchunguza Baadhi ya vyanzo ikiwemo museum utumwa huko Ulaya na Nachokuambia Hiyo unayotaja imechangia asilimia ndogo sana sema imekuwa exagerated kwa ajili ya kuukandamiza uislamu ...
Na hiyo ndo njia hasa walifanikiwa wazungu kuingiza ukristo kwa kuwaambia Waislamu ndo wamewaketea Utumwa 🀣
 
Karne ya Tisa ni kuanzia miaka 801 mpaka 900 kwa callendar ya Gregory na kwa kalendaa ya Hijria ni kama karne ya 2 hivi au miaka 200 na kitu umeridhika ....
Sasa huo mda mkuu ni mdogo sana maana jamii za waarabu wa bedouin na jamii za waafrika wa kale na jamii za waabeshi na jamii za wanubi na jamii za waputi wa libya na waamori wa morroco na Algeria zimeanza kukaa na kufanya biashara katika ukanda wa jangwa la sahara kabla ya ukristo na uislamu duniani.
Nazungumzia historia ya miaka 3000 iliyopita na ushahidi upo wazi wa masalia ya miji yao ukanda wote huo wa jangwa la Sahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…