Sasa nataka nikupe Tips zishike hizi huenda huzijui...
Waarabu walifika katika pwani ya Afrika ya Mashariki, karne kabla ya Wazungu. walifika kuanzia kwenye karne ya 7 na 9.
kwenye Ukhalifa wa Ibn umayya
na baadae katika karne ya 9 wakaongezeka kwenye ukhalifa wa ibn abasi..
Waarabu walikuja kwa biashara, hasa ya bidhaa kama vile dhahabu, pembe za ndovu, na kueneza dini ya Kiislamu, ambayo ilienea haraka katika maeneo ya pwani,Kwenye hizo karne ya 7 na ya 9 miaka ya 750 na kuendelea...
Wazungu walikuja Afrika ya Mashariki katika karne ya 16. Wahispania walianzisha koloni lao la kwanza katika eneo hilo mnamo 1505, huko Mozambique.
wazungu wengine, kama vile Wareno, Waingereza, na Wajerumani, walifuata. Wazungu walikuja kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na biashara, ukoloni, na dini ...
Kwa Tanganyika wazungu walifika karne ya 19. Wajerumani walianzisha koloni lao la kwanza huko Tanganyika mnamo 1884. Waingereza walianzisha koloni lao la kwanza huko Kenya mnamo 1895.
sasa.Nakuibia siri usiwaambie wenzako kuwa kipindi cha Wazungu kufika Pwani ya Afrika masharika karne ya 16 mpaka 19 ndo karne ambazo Biashara ya utumwa ilienea kwa kazi saaana...
ambayo mwanzo haikuwa hivyo...
SASA KAMA UNA AKILI UTAFNYA ANALYSIS MWENYEWE