Truth Bot AI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 307
- 731
Mara ya kwanza ulisema Miaka 9000? Au sio wewe ?Sasa huo mda mkuu ni mdogo sana maana jamii za waarabu wa bedouin na jamii za waafrika wa kale na jamii za waabeshi na jamii za wanubi na jamii za waputi wa libya na waamori wa morroco na Algeria zimeanza kukaa na kufanya biashara katika ukanda wa jangwa la sahara kabla ya ukristo na uislamu duniani.
Nazungumzia historia ya miaka 3000 iliyopita na ushahidi upo wazi wa masalia ya miji yao ukanda wote huo wa jangwa la Sahara.
Mkuu kama wakazi wenyewe wa ukanda wa jangwa la sahara kuanzia Timbuktu mpaka Cairo walionisaidia research yangu ya Biashara ndani ya jangwa la Sahara wamenipoteza basi upo sahii.Umejibu kwa ulichokariri sio ufasaha Nimefanya tafiti nyingi sana na Tafiti yangu mojawapo ya Master ilikuwa ni Utumwa wa E.A na athari zake kwahyo nilihoji watu wa Zamani pamoja na kuchunguza Baadhi ya vyanzo ikiwemo museum utumwa huko Ulaya na Nachokuambia Hiyo unayotaja imechangia asilimia ndogo sana sema imekuwa exagerated kwa ajili ya kuukandamiza uislamu ...
Na hiyo ndo njia hasa walifanikiwa wazungu kuingiza ukristo kwa kuwaambia Waislamu ndo wamewaketea Utumwa π€£
Mkuu mimi nilifanya reasearch east Africa na nilifanya maeneo hayo kwa udogo sana kwa ajili ya kuangalia njia za watumwa tu..Mkuu kama wakazi wenyewe wa ukanda wa jangwa la sahara kuanzia Timbuktu mpaka Cairo walionisaidia research yangu ya Biashara ndani ya jangwa la Sahara wamenipoteza basi upo sahii.
Nimekupa kadirio tu kutokana na vipimo vya mabaki ya kale kama nyungo na mifupa na ujenzi wa makaburi.Mara ya kwanza ulisema Miaka 9000? Au sio wewe ?
Mkuu utakuwa hauko Serious πNimekupa kadirio tu kutokana na vipimo vya mabaki ya kale kama nyungo na mifupa na ujenzi wa makaburi.
Nikikurudisha miaka 9000 nitakuchanganya sababu wewe sio mtaalamu na mtafiti wa binadamu wa kale na historia ya mwanadamu
Rudi nyuma kabisa baada ya ujio wa wakoloni wa kiarabu kutokea Uajemi ,waliofikia pale Kilwa,ndio utajua kiini cha biashara ya utumwa afrika mashariki.Mkuu mimi nilifanya reasearch east Africa na nilifanya maeneo hayo kwa udogo sana kwa ajili ya kuangalia njia za watumwa tu..
Na nilifanya mpaka walipopelekwa....
Hiyo miaka 9000 unayosema Inatia mashaka?
Japo nakubaliana na wew kwamba inaweza inaweza biashara ikawa zaidi ya miaka 3000 ilopita
Mkuu usitoke nje ya mada,,jamaa aliuliza kama waislamu na watu wa jamii zake walifanya biashara ya utumwa na nikampatia kitabu cha mwanazuoni wa kiarabu Profesa CHOUKI EL HAMEL asome.Mkuu utakuwa hauko Serious π
Nimesoma History na nimbobezi wa history ya Utumwa wa Africa mashariki...
Unasema utanichanganya kuhusu ZAMADAMU...
Turudi kwenye hoja na mada..
Nioe vithibitisho ukitoa biashara vilivyokuashiria kwenye Research yako kuwa waislamu nd walifanya biashara hiyi
Mfano mdogo tu kuhusu uislamu na waislamu na utumwa ni huu.Utawala wa zanzbar walikua waarabu wa Oman na masalia yao ya machotara na waswahili wa pwani walikua dini gani na je misafara yote ya waarabu kuanzia unyanyembe na ujiji na umanyema haipo wazi?Umejibu kwa ulichokariri sio ufasaha Nimefanya tafiti nyingi sana na Tafiti yangu mojawapo ya Master ilikuwa ni Utumwa wa E.A na athari zake kwahyo nilihoji watu wa Zamani pamoja na kuchunguza Baadhi ya vyanzo ikiwemo museum utumwa huko Ulaya na Nachokuambia Hiyo unayotaja imechangia asilimia ndogo sana sema imekuwa exagerated kwa ajili ya kuukandamiza uislamu ...
Na hiyo ndo njia hasa walifanikiwa wazungu kuingiza ukristo kwa kuwaambia Waislamu ndo wamewaketea Utumwa π€£
Kwanza kabisa mwarabu hakuwahi kuwa koloni la mtu yoyote Ila aliwahi kuweka utawala wa Khalifa (Caliphate)..Rudi nyuma kabisa baada ya ujio wa wakoloni wa kiarabu kutokea Uajemi ,waliofikia pale Kilwa,ndio utajua kiini cha biashara ya utumwa afrika mashariki.
Kabla ya waarabu wa oman na yemeni na wareno wa ulaya kufika katika ukanda huu.
NB: LENGO NI KUELIMISHANA NA KUMJIBU NA ALIYEULIZA KUHUSU UISLAMU NA BIASHARA YA UTUMWA.
Mkuu Nimeuliza swali dogo Sana kwanini kwa Waarabu Hakuna waafrika kama waliuzwa kwaoMfano mdogo tu kuhusu uislamu na waislamu na utumwa ni huu.Utawala wa zanzbar walikua waarabu wa Oman na masalia yao ya machotara na waswahili wa pwani walikua dini gani na je misafara yote ya waarabu kuanzia unyanyembe na ujiji na umanyema haipo wazi?
Na kilichokua kinafanyika kilikua hakijulikani?
NB: UKWELI NI KAMA NGUO UNAONEKANA TU NA HISTORIA WAGA HAIFUTIKI.
Vita ya dunia amezungumzia huyo idiot mwenzako.... Ndio maana nilitaka niwakumbushe wote wa 2Sasa kwani me nimeongelea Vita ya dunia kwenye bandiko langu lolote acha upungua Bwana mdogo soma vizuri au una utelezi kwenye macho
Walikuwa wanawahasi (kung'oa pumb.u) ili wasizaliane huko. Baada ya kuwahasi watumwa wa kiume wakawatumikisha kwa kazi ngumu na usenge.Waliuza watumwa wakiwauzia wapi na waliwapeleka wapi mbona hutujawahi kusikia Mwarabu mweusi huko uarabuni Tumia akili kutafakari
Vipi kuhusu Wanawake na wenyewe walikuwa wanawang'oa mfuko wa uzaziWalikuwa wanawahasi (kung'oa pumb.u) ili wasizaliane huko. Baada ya kuwahasi watumwa wa kiume wakawatumikisha kwa kazi ngumu na usenge.
Watumwa wakike wakawa wanapewa dawa za kufunga uzazi.
Walilishwa dawa za kufunga uzazi..Vipi kuhusu Wanawake na wenyewe walikuwa wanawang'oa mfuko wa uzazi
Uliwahi kuhudhuria Sunday school wakakufundisha hayo?Hizi hadithi ni sawa na paukwa pakawa unazipata Sunday school
Inawezekana mengi kati ya hayo uliyosema ni sahihi lkn haiondoi ukweli wa kile nilichodokeza hapa.Biashara ya Utumwa na kanisa
marehemu Malcomx alisema kuwa kiasi cha milioni 100 ya Waafrika walitiwa utumwani na kufikishwa Amerika wakiwa hai. Haijulikani idadi ya waliofia safarini.
John Hawkins alifanya safari tatu Afrika Magharibi katika miaka ya 1560, na kuchukua Waafrika ambao waliwauza kwa Wahispania Marekani. Aliporudi Uingereza baada ya safari kwanza, kwa sababu ya faida kubwa aliyopata, malkia Elizabeth wa kwanza alitamani kushiriki katika safari ya pili; na alitoa meli iitwayo Jesus (Yesu) kwa safari hiyo. Hawkins aliondoka na Jesus (meli) kuchukua watumwa Waafrika zaidi na aliporudi Uingereza alipata faida kiasi kwamba, Malkia Elizabeth alimpa nishani. Hawkins aliamua kuwa nembo ya cheo chake kuwa alama ya Mwafrika aliyefungwa minyororo.(1)
Maaskofu na wachungaji wa kanisa wa ngazi za chini, walikuwa na watumwa wao waliofanya kazi mashambani, kuwabeba machela mabwana zao, wachungaji walipelekwa huko na huko katika safari zao. (2)
Hayo yalifanyika sehemu nyingi za Afrika na kwingineko makanisa yalikokuwa yakijengwa enzi hizoza biashara ya utumwa. Na wale watumwa waliokamatwa Marekani walibatizwa kwa mpigo wakati wakipakiwa melini. Askofu alijengewa kiti maalum gatini kwa ajili ya kazi hiyo.(3)
Toa kitabu chako ambacho kinaonesha waislamu (waarabu) hawakufanya biashara ya utumwa.π π KwHyo hii ndo swali lako la kipuuuzi la darasa la pili inaoonekana wengi bado mnasoma hekaya za Bunuwasi mlizolishwa matango pori. tangu zaman
Na wakifanya ktk kanisa la mkunaziniInawezekana mengi kati ya hayo uliyosema ni sahihi lkn haiondoi ukweli wa kile nilichodokeza hapa.
Yaani;
1. Kitovu cha biashara ya utumwa kwa ukanda Afrika Mashariki yote kilikuwa ni Zanzibar tena chini ya Masultani.
2. Waliohusika na biashara ya ulanguzi wa watumwa ndani ya Africa(in the interior of Africa) walikuwa ni Waarabu. Mfano wao Kina Tip tip. Wazungu walikuwa ni wanunuzi wa jumla.
Bad enough ni wazungu hao hao baadaye wakaamzisha movements za abolition of slave trade.
Mkuu tatizo unachanganya imani yako ya kiislamu na jamii za kiutawala au falme za watu wenye asili za kiarabu enzi hizo.Kwanza kabisa mwarabu hakuwahi kuwa koloni la mtu yoyote Ila aliwahi kuweka utawala wa Khalifa (Caliphate)..
Waarabu wenye uislamu halisi walifika kwenye karne ya 7 mpaka 10 kabla Waarabu wapenda utawa hawajaaanza kuvamia kuja kwa ajili ya kufanya biashara..
Baadae walikuja Waarabu kutoka Oman na yemeni waliingia na kuanza kufanya biashara hiyo kwenye karne ya 12..
sasa unajua lengo lao..
lengo la waarabu kutoka oman na yemen ntaelezea
tuendelee kwanza
Biashara ya utumwa katika Afrika Mashariki ilianza kama biashara ya ndani, ambapo watumwa walitumika kama wafanyakazi wa ndani na watumwa wa kivita. katika karne ya 12, biashara ya utumwa ilianza kuenea zaidi...
umegusa kilwa sawa ngoja Nigusie pia
Kilwa Kisiwani
Mji wa Kilwa Kisiwani, ambao ulikuwa mojawapo ya miji mikuu ya biashara ya Kiarabu katika Afrika Mashariki, sasa hapa ndo kulikuwa na Biashara au centee ya watumwa walioanzisha hawa wa iran... au waarabu waliokuja kwenye karne ya 12
Waarabu wa Oman na Yemen
Katika karne ya 16, kwakuwa Waarabu waki iran walifika kwanza Tanganyika na EA ilikuwa vigumu kwa Wazungu kuja na kuwaondolea Mindset ya kuwatawala waafrika kwa Kuwa Tayari Walikuwa na mindset walizowekewa na waislamu sasa hapa ndo wazungu wakabuni Mbinu ambayo ni kutafuta watu Omani na Yemen ambao wanaaminika kuwapachika na kuwa ahidi utawala dhidi ya waafrika ili tu waje huku Afrika ya mashariki
walianza kuchukua udhibiti wa biashara ya utumwa katika Afrika Mashariki. Wafalme wa Omani walianzisha himaya iliyoenea katika eneo hilo, na walitumia utumwa kama njia ya kuendeleza uchumi wao. na lengo lao lilikuwa utangulizi wa Wazungu na kama utaona kwamba empire nyingi za kiarabu hazikuanguka hata baada ta kubadilisha utawala kutoka kwa mjerumani kwenda kwa mzungu
Sasa kwa kuconclude wazungu waliamua kufanya hivyo kuwatumia waarabu kwa ajili ya uwepesi wa kuingia EA na hapo ndo ilipoonekana kwamba waarabu walifanya biashara ya utumwa...
sasa ukitka zaidi soma vitabu vifuatavyo...
- The Slave Coast: A History of the Indian Ocean Slave Trade, 1500-1850 na John Thornton (1998)
- The Atlantic Slave Trade from West Central Africa, 1780β1868 cha John thornton
- Slaves, Spices, and Ivory: The East African Coast in the Indian Ocean World, 700-1700 na Richard Pankhurst (2001)
- The Swahili: Reconstructing the History and Culture of an African Society, 800-1500 na J. de V. Allen (1993)
- The East African Slave Trade: A History na Edward Alpers (2009)
- The Zanzibar Slave Trade and Its Aftermath na Abdul Sheriff (1987)
Mkuu utumwa katika bara la afrika mashariki haukuanzia kanisa la mkunazini.Na wakifanya ktk kanisa la mkunazini